Picha mbili zinayofikirisha - Mikutano ya Kinana

Picha mbili zinayofikirisha - Mikutano ya Kinana

Bigirita

Platinum Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
16,049
Reaction score
7,489
Mimi sina maneno mengi, nataka muangalie picha hizi kisha mtakachokiona mkitafakari.

8.jpg

Kinana anawanunua wazee waliokuwa awanachama wa CHADEMA.
Weka mbali na Tembo anajua biashara sana huyu!


0

Hapa wazee wanafurahia mauzo ya kadi za CHADEMA.

Angalia nyumba kabisa ya picha hiyo......kuna nini?
 
Wale tu hizo pesa maana ni kodi zao,ila moyo wao upo chadema!!
 
Utasikia hapo alikuwa anawawezesha wanawake kwenye kikundi chao
 
Nani bora huyu anaye msaidia bibi au nyie mnaochangisha wananchi kujenga nyumba binafsi?
 
Nani bora huyu anaye msaidia bibi au nyie mnaochangisha wananchi kujenga nyumba binafsi?
Hawa misukule wanachangishwa hela halafu makamanda watia mfukoni
Yaani kama ni biashara kweli DJ anaijua kwa namna anavyokomba hela za hawa misukule
 
ma-ccm yanapoteza muda wa watoto wetu kwa mambo ya kipuuzi kama haya.

Kuna watoto zaidi ya 3000 wanakusanywa pale Jitegemee Jkt kila siku kwa mwezi sasa, eti maandalizi ya Sherehe za muungano !
 
siasa si zimekatazwa mashuleni na vyuoni, au ni siasa za wapinzani tu
 
Huku ni kutamani ukuu na kupigiwa salute pasipo stahili.

Hao watoto wanapigishwa gwaride, viatu vinakwisha upande na wanaambulia ubwabwa tu.

Tshirt zimeandikwa umoja wa vijana kutuzuga, wakati hao ni watoto.
 
Back
Top Bottom