Lusinde na mautani yake bwana!

Lusinde na mautani yake bwana!

Avanti

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2010
Posts
1,209
Reaction score
240
Eti wakati yeye mtoto wake wa MWISHO ana miaka 8, mtoto wa Katibu Mkuu wa Chama changu (ambaye haijulikani kama ni wa mwisho) ana umri wa majuma kadhaa. Sasa hapa sijui alikuwa anamaanisha nini? Au kwamba Katibu Mkuu wangu akija kuwa Rais kodi zetu zitatumika kutunza watoto wake wadogo? Kwa maana hiyo Katibu Mkuu wangu anahitaji sana kura yangu ili aje apate ulaji angalau aweze kununulia watoto maziwa? Lusinde bana, wa ajabu sana!!!
 
Eti wakati yeye mtoto wake wa MWISHO ana miaka 8, mtoto wa Katibu Mkuu wa Chama changu mtoto wake (ambaye haijulikani kama ni wa mwisho) ana majuma kadhaa. Sasa hapa sijui alikuwa anamaanisha nini? Au kwamba Katibu Mkuu wangu akija kuwa Raisi kodi zetu zitatumika kutunza watoto wake wadogo? Kwa maana hiyo Katibu Mkuu wangu anahitaji sana kura yangu ili aje apate ulaji angalau aweze kununulia watoto wazima? Lusinde bana, wa ajabu sana!!!

'Hakuna umaskini mbaya kama umaskini wa mawazo, ni umaskini mbaya sana' - Mwalimu Julius
Nyerere
 
Ila mi nafikiri umaskini wa mawazo ni mzuri sana, fikiria pale ambapo hauna mawazo inakuwaje? Sio kila kitu Nyerere alikuwa sahihi mkuu! Think aloud and independently!
 
Eti wakati yeye mtoto wake wa MWISHO ana miaka 8, mtoto wa Katibu Mkuu wa Chama changu (ambaye haijulikani kama ni wa mwisho) ana umri wa majuma kadhaa. Sasa hapa sijui alikuwa anamaanisha nini? Au kwamba Katibu Mkuu wangu akija kuwa Rais kodi zetu zitatumika kutunza watoto wake wadogo? Kwa maana hiyo Katibu Mkuu wangu anahitaji sana kura yangu ili aje apate ulaji angalau aweze kununulia watoto maziwa? Lusinde bana, wa ajabu sana!!!

Issue sio mtoto wa mwisho ana miaka mingapi. Issue ni mpaka sasa una watoto wangapi?
 
Du, Kweli bana! sijui watafika wangapi kama bado kuna dalili za kuendelea kuwapata.
 
Kwahiyo?
 
Kama mzee wa miaka mingi kapata mtoto wa kwanza sasa, kuna uwezekano asipate watoto zaidi kwa siku za mbeleni, labda asaidiwe na vijana. Lakini kijana mdogo kama Lusinde kama ana mtoto wa mwisho wa miaka nane sasa, pana uwezekano akazaa watoto zaidi na zaidi. Na sipati picha Lusinde kutokwenda shule kwake, atakuwa alianza kuzaa angali mdogo; hivyo si ajabu akawa na watoto zaidi ya wanne kwa umri wake wa sasa.
 
Issue sio mtoto wa mwisho ana miaka mingapi. Issue ni mpaka sasa una watoto wangapi?

Dr Kanjanja ana mtoto mmoja aliyezaa na mchumbae. Wale wengine aliwakataa pamoja na mama yao.
 
Ila mi nafikiri umaskini wa mawazo ni mzuri sana, fikiria pale ambapo hauna mawazo inakuwaje? Sio kila kitu Nyerere alikuwa sahihi mkuu! Think aloud and independently!

Unadhani Nyerere alimaanisha kukosa mawazo au kutokuwaza kabisa? La hasha alimaanisha kukosa mawazo ya busara, kuwaza upumbavu kila muda ndio umaskini wenyewa huo!!
 
Ila mi nafikiri umaskini wa mawazo ni mzuri sana, fikiria pale ambapo hauna mawazo inakuwaje? Sio kila kitu Nyerere alikuwa sahihi mkuu! Think aloud and independently!

Mkuu, hivi unaelewa maana hasa ya neno "umaskini wa mawazo" au umejibu kwa sababu unajua neno mawazo?
 
Hivi mkuu Avanti na wenzio, mtindo wa ufanyaji kazi huwa ukoje? Huwa jamaa wa Lumumba wanawawekea vocha za bando au huwa wanawapa cash muweke wenyewe? Na posho huwa ni cash baada ya thread kutoka au mna accumulate weekly au monthly? Kuna kodi yoyote huwa mnakatwa katika malipo yenu? Vipi lakini kiuhalisia, roho huwa haziwaumi kushabikia kitu ambacho mnajua kabisa ni pumba?
 
Hivi mkuu wa kaya ana wangapi mpaka sasa?........

Duu!! Huyu anaweza kufikisha kama 40 hivi,ukichanganya na wa Vimada!! Si Unajuwa tena Jamaa ni Bingwa wa Kulegeza Flaiz!! Muda wote inakua wazi!

Lakini swala ambalo ndilo la Msingi hapa ni je kauli ya Huyo Bogaz Lusinde ina Manufaa kwa Watanzania wanao lalia mlo mmoja kwa siku, huku wengine wakisindikiza siku bila Mkono kwenda Kinywani?!

MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!
 
Mkuu, hivi unaelewa maana hasa ya neno "umaskini wa mawazo" au umejibu kwa sababu unajua neno mawazo?

Amekurupa tu kujibu huyu na Lusinde watakuwa mtu na shemeji yake uwezo wa kufikiri hakuna kabisa,,
 
Eti wakati yeye mtoto wake wa MWISHO ana miaka 8, mtoto wa Katibu Mkuu wa Chama changu (ambaye haijulikani kama ni wa mwisho) ana umri wa majuma kadhaa. Sasa hapa sijui alikuwa anamaanisha nini? Au kwamba Katibu Mkuu wangu akija kuwa Rais kodi zetu zitatumika kutunza watoto wake wadogo? Kwa maana hiyo Katibu Mkuu wangu anahitaji sana kura yangu ili aje apate ulaji angalau aweze kununulia watoto maziwa? Lusinde bana, wa ajabu sana!!!

hahaa kuna mwingine yupo magogoni ni mwenyekiti wa chama cha lusinde mtoto wake anamiaka miwili daa yani sjui hyo ndo kodi zetu alitumia kuolea
 
Dr Kanjanja ana mtoto mmoja aliyezaa na mchumbae. Wale wengine aliwakataa pamoja na mama yao.

mmepania sana kumtukana mwenyekiti wenu ila mnatumia fasihi sana make tule ndo hajui anao wangapi
 
Ila mi nafikiri umaskini wa mawazo ni mzuri sana, fikiria pale ambapo hauna mawazo inakuwaje? Sio kila kitu Nyerere alikuwa sahihi mkuu! Think aloud and independently!

Soma MITHALI 26:4 hakika itakusaidia.
 
Back
Top Bottom