Vita na Malawi: Baraza la Usalama la Taifa wako wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vita na Malawi: Baraza la Usalama la Taifa wako wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BORGIAS, Aug 8, 2012.

 1. B

  BORGIAS Senior Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 126
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  So far tumesoma mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Usalama (EL), amejitokeza na kutoa tamko. Sasa hawa jamaa wa National Security Council ya Tanzania itabidi watoe tamko juu ya hili suala. Lakini kabla hatujaenda mbali kuna mtu anajua:

  1. Je limeundwa lini?

  2. na wajumbe wake wanapatikana vipi?

  3. Je Zanzibar wamo au hawamo?

  4. Je inabidi wawe na qualifications zipi?

  5. wanakutana mara ngapi?

  6. mwenyekiti wao ni nani?

  7. Katibu wao ni nani?

  8. Wanaripoti kwa nani?

  9. je washatoa maamuzi yepi zazito yanayohusu nchi hii tangu liundwe?

  10. je ripoti zao (gongo la mboto, pirates, meli kuzama zanzibar etc) ziko wapi?

  11. je website yao ni ipi?
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mambo mengine ni hasara kuyasema!
   
 3. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Tunahitaji National security advisory Commitee yenye vitengo kama Think Tank ya Usalama.Tunafanya masikhara sana sisi
   
 4. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Mkuu Ben Saanane TISS wako busy kuwashughulikia wapinzani,vongozi wa madaktari na waalimu.JWTZ kazi yao kulinda mitambo ya TANESCO.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Hujaongelea kulinda mabinti wa Vigogo wasinyemelewe na vijana wanaofanya kazi za ndani au wake za vigogo wasifanye infidelity.
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Wapo sana tu ila kwasasa wanadeal na wanaoonekana kuipinga serikali!!!! Nadhani tuhuma dhidi ya TISS/UWT za hivi karibuni wote tumezishuhudia!
   
 7. L

  LOVI MEMBE JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,121
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kauli zinazokosa subira za watu wanaodhaniwa kuwa wagombea urais 2015 hazishawishi kama kweli watatweza kuongoza nchi kwa hekima kama wakipewa nafasi ya uongozi. Hivi hawawezi kupanga kauli zao kwa mpangilio uanaoonyesha busara zao pindi wakipewa kuongoza nchi?
   
 8. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,930
  Trophy Points: 280
  Aliyeanzisha thread hii atakuwa na matatizo ya ubongo. Ama la utakuwa agent wa Malawi wewe!
   
 9. B

  BORGIAS Senior Member

  #9
  Apr 22, 2013
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 126
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  umeona eeeh?
   
Loading...