Adjustment ya Madaraja na Mishahara kwa Walimu

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
13,160
10,007
KUTOKA KIKAO KATI YA BODI YA MISHAHARA YA SERIKALI NA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZOTE NCHINI
Madaraja ya walimu yamerekebishwa graduate ataanza na TGTS E kama laki 850,000/= na wataAdjust kama ulikua C unahamia D automaticaly na wa D anahamia E pia daraja kikomo H linasogezwa hadi J kama kada nyingine.
My take.
Walimu msije mka bweteka.
Hili linaweza kuwa ni Changa la Macho.

Mwito wangu kwa Ma Mwela ( Polisi.)

Hizi sio zama za kutumiwa na CCM kama rough rider ama Dume kisha mna dastibiniwa.
Amkeni,daini haki zenu..
 
Kama ungekuwa umesilikilza hotuba ya mhe Celina kombani, waziri wa nchi ofisi ya rais menejiment na utumishi wa umma na pia ungekuwa umesoma gazeti la mwananchi la tarehe 18 Apr 13 kwenye tangazo la serikali kuhusu uvumi wa ongezeko la mishahara nadhani usingefikiria hata kuandika habari hii.
 
Graduate salary Tshs 850,000........Mh bebu tujue kodi yake itakwaje?
Taxable salary= Gross salary minus NSSF (10%)
= Tshs 850,000-(850,000*10%)
=Tshs 850,000-85,000
Hence, taxable salary =Tshs 765,000
Calculations of tax on salary (PAYE):
Taxable salary falls on band 4 to para 1(1) of the first schedule of the income tax act, 2004.
Therefore,

Gross salary 850,000.00
Taxable salary 765,000.00
minus 720,000.00
Excess of Tshs 720,000 45,000.00
tax (the excess) at 30% 13,500.00
Add fixed tax 107,600.00
Total tax 121,100.00
Hence net salary=Gross salary minus (NSSF+PAYE)
Net salary is therefore 643,900.00
Less expenditure:
Transport by daladala three buses (return) per day per week per month 108,000.00 No weekend included
Food at work per work day per month 102,000.00
House Rent per month one room without electricity 35,000.00
Mobile phone vouchers per da per month 36,000.00
Food at home per day per month including purchase of charcoal and parafin 96,000.00
TV King'amuzi cost per month 30,000.00
Water purchases per day per month (not located to availability of tap water) 40,000.00
Environmental cleanness cost per month (kuzoa takataka mtaani) 20,000.00
Electricity contribution per month-LUKU (as you live with other house mates) 15,000.00
Part-Time tuition fee (apportioned monthly) for your son or daughter or relative 75,000.00
Total expenditure 557,000.00
Savings........................................................................................................................... 86,900.00
 
Back
Top Bottom