CUF haina malengo ya kisiasa- Khatib

CUF haina malengo ya kisiasa- Khatib

Alfu Lela Ulela

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
1,255
Reaction score
77
Katibu wa organization wa chama chama cha mapinduzi (CCM) Mohamed Seif Khatib, jana wakati akihutubia Morogoro alisema Chama cha
Wananchi (CUF) kina malengo
mengine tofauti na siasa, hivyo
wasihangaike kujiunga nacho kwani
kina wenyewe.

Je ni malengo gani hayo? Na kwanini kisifutwe kama kweli hakina malengo ya kisiasa, ili kikasajiliwe kama NGO?
 
Khatib kasema hivyo kwa kuwa anatoka Zanzibar ambako CUF ni tishio kwa CCM lakini kwa huku bara wimbo wa CCM ni kuiponda CHADEMA ambayo kwa bara inawanyima usingizi.
 
Wapi Mtatiro? Njoo urekebishe huku, hali ya hewa imechafuliwa na Kada mwenzenu kule Moro. Inaelekea yale makubaliano yenu (MoU) ya kutoshambuliana majukwaani hayaheshimiwi tena siku hizi.
 
Mume anatoa siri za ndani za mkewe??... Hii ni hatari sasa...
 
Hapo ndipo huwa wanamkera maalim. Soon nae atarusha kijembe. Ndoa hii bwana!!!!
 
Sasa wameundaje serikali na chama ambacho hakina malengo ya kisiasa? Au Khatibu anataka kusema CCM nacho hakina malengo ya kisiasa, na kina wenyewe?
 
Katibu wa
organization wa chama chama cha mapinduzi (CCM) Mohamed Seif Khatib,
jana wakati akihutubia Morogoro alisema Chama cha
Wananchi (CUF) kina malengo
mengine tofauti na siasa, hivyo
wasihangaike kujiunga nacho kwani
kina wenyewe.

Je ni malengo gani hayo? Na kwanini kisifutwe kama kweli hakina malengo
ya kisiasa, ili kikasajiliwe kama NGO?

MTU MZIMA AKIVUA NGUO HADHARANI HATUNA HAJA YA KUMPIMA AKILI . Huyo
mtumbatu hana kazi ndo kaamua kuropoka ili aonewe huruma kuna warsha
anataka apewe yeye akaifungue so anabembeleza apo.
 
Back
Top Bottom