Wananchi wa DODOMA wapuuza ujio wa CHADEMA jana

kiwaya

Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
62
Reaction score
9
Wananchi wa Dodoma jana wamepuuza ujio wa CDM kuudhihirisha haya kutoudhuria kwa wingi na hata waliodhuria nao baada ya mkutano uliofanzika WAJENZI AREA C nao walianza kurumbana wengine wakidai ni chama cha uchochezi na wangeni wakitaa. ingawa walitumia muda zaidi ya masaa 9 kutangaza ujio wa viongozi wao kila mtaa walifika ila wanachi waliwapuuza, Wakidai hawana jipya kila siku wao ni kulalamika

WATANZANIA SASA NI MUDA MUAFAKA SASA WA KUIGA MFANO KUTOKA DODOMA, CHAMA HICHI AKINA TOFAUTI NA MOTO KILA SIKU WAO NI KULIA HAWANA USHAURI KWA SERIKALI
 
Rudi ukalale. Yaani wenzio wanajadili mambo mengine ya ukombozi, wewe ndio unaleta agenda za jana? Umechelewa mazee.
 
Wananchi wa dodoma wapo makini sana, wameonyesha wazi kuwa hawadanganyiki
 
wanataka taifa lisikie siyo wingi wa watu na siyo sherehe hao wanaucchungu na nchin yao
 
Toa vielelezo vya ushahidi wa hilo unalotaka kutuaminisha (Picha)
 
Wewe kulale una hangover ya kogogo kunywa juice glucose akili itarudi kaka
 
labda wangeenda makanisani kuubili,. . . wananchi wa dodoma wanajielewa sana. . . .
Padri Slaa jana alikuwa anatokwa povu kwa mshangao mkubwa wa uchache wa watu, Watanzania tumeshawajua, MAGAIDI nyinyi, Tanzania nchi ya Amani tudumishe Amani yetu, Tusidanganyike na hiki kikundi kidogo cha Hatarisha Amani. . . .

Poor CHADEMA.
 
Wananchi wa Dodoma jana wamepuuza ujio wa CDM kuudhihirisha haya kutoudhuria kwa wingi na hata waliodhuria nao baada ya mkutano uliofanzika WAJENZI AREA C nao walianza kurumbana wengine wakidai ni chama cha uchochezi na wangeni wakitaa. ingawa walitumia muda zaidi ya masaa 9 kutangaza ujio wa viongozi wao kila mtaa walifika ila wanachi waliwapuuza, Wakidai hawana jipya kila siku wao ni kulalamika

WATANZANIA SASA NI MUDA MUAFAKA SASA WA KUIGA MFANO KUTOKA DODOMA, CHAMA HICHI AKINA TOFAUTI NA MOTO KILA SIKU WAO NI KULIA HAWANA USHAURI KWA SERIKALI

Pole sana rudi Ngumbaru,waliokutuma wakiona haya ulioandika posho hakuna mkuu.
 
Wananchi wa Dodoma jana wamepuuza ujio wa CDM kuudhihirisha haya kutoudhuria kwa wingi na hata waliodhuria nao baada ya mkutano uliofanzika WAJENZI AREA C nao walianza kurumbana wengine wakidai ni chama cha uchochezi na wangeni wakitaa. ingawa walitumia muda zaidi ya masaa 9 kutangaza ujio wa viongozi wao kila mtaa walifika ila wanachi waliwapuuza, Wakidai hawana jipya kila siku wao ni kulalamika

WATANZANIA SASA NI MUDA MUAFAKA SASA WA KUIGA MFANO KUTOKA DODOMA, CHAMA HICHI AKINA TOFAUTI NA MOTO KILA SIKU WAO NI KULIA HAWANA USHAURI KWA SERIKALI

7000 kimeshaingia kwa mpesa umetisha
 
we ------ unakihehere kama mwanamke aliyechokwa unampenda mwigulu kuliko mke wake....!

ndio zenu kurusha matusi mkiambiwa ukweli...hamjengi hoja mnaishia ku wenje na ku sugu watu hapa jukwaani...look at you!
 
Tunashukuru sana kwa taarifa mkuu,

Lakini, ili upate kuaminika zaidi madai yako, hebu tupia japo ka-picha mkuu kuonyesha tulivyokataliwa zaidi ya watani wetu wa kijani wanavyoendelea kusonywa kila wanakopita na yule jamaa wa Mi-Tembo mbugani.
 
Wananchi wa Dodoma jana wamepuuza ujio wa CDM kuudhihirisha haya kutoudhuria kwa wingi na hata waliodhuria nao baada ya mkutano uliofanzika WAJENZI AREA C nao walianza kurumbana wengine wakidai ni chama cha uchochezi na wangeni wakitaa. ingawa walitumia muda zaidi ya masaa 9 kutangaza ujio wa viongozi wao kila mtaa walifika ila wanachi waliwapuuza, Wakidai hawana jipya kila siku wao ni kulalamika

WATANZANIA SASA NI MUDA MUAFAKA SASA WA KUIGA MFANO KUTOKA DODOMA, CHAMA HICHI AKINA TOFAUTI NA MOTO KILA SIKU WAO NI KULIA HAWANA USHAURI KWA SERIKALI

Picha ya uthibitisho kwa uyanenayo? Usije ukawa ITV walivyoonyesha mkutano wa gambaz Moro kwa kuonyesha aliposimama nape, hilo mbona hujaliandika?
 
Back
Top Bottom