Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndg zangu, Awali ya yote niwatakie Juma Pili Njema na Kwa Ndg zetu wanoenda kanisani siku ya Leo waendelee kuombea Taifa letu na Viongozi wetu kufanya maamuzi ya Busara juu ya Hatima ya Maisha ya...
40 Reactions
196 Replies
16K Views
Tamko la mwenyekiti wa tume huru ya uundaji wa katiba mpya nchini Tanzania mheshimiwa jaji joseph Warioba ni kuangalia kwa makini sana, katika kujibu hoja mbali mabli za wadau juu ya mashaka na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kUNA WANAOKUMBUKA TUKIO HILI TAFADHALI,,,MBUNGE HUYU ALIKUWA NANI NA NINI ILIKUWA HATMA YAKE? UONGOZI WA WAKATI HUO NA WA LEO KATIKA KUSHUGHULIKIA KADHIA ZA NAMNA HII TUNA URATE VIPI?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MIONGOZO mitatu iliyoombwa na wabunge, Zitto Kabwe, Tundu Lissu na John Mnyika, jana asubuhi ilisababisha Bunge kuahirishwa kwa muda kuiptisha bajeti ya Wizara ya Maji iliyowasilishwa bungeni wiki...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Haya ni maoni ya mdau mmoja kwenda kwa Mh. Kikwete. Baba wa Taifa rais Nyerere aliweka maslahi ya Taifa juu zaidi ya maslahi ya chama chake CCM. Hii ilimfanya hata kupigania uanzishwaji...
1 Reactions
2 Replies
938 Views
Baada ya kuchunguza ni kwa nini wabunge wa CHADEMA tu bungeni ndio wanachangia dakika 5 na kugundua kuwa ni CHADEMA wenyewe ndio waliomba utaratibu huo ili bajeti vivuli zipate muda mwingi lakini...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nianze kwa kutoa kumbukumbu kwamba kwa hali iliyopo kisiasa hapa Tanzania ni wazi na wengi tumeamnini /tunaamini mtazamo wangu ukiwa ni kwa 'Kulazimishwa' tuamini kuwa Maadui wakubwa wa CCM ni...
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Kupitia jamvi hili ningependa kumkumbusha our future president mh. Dr. w Slaa kuwa kwa sasa ndio wakati wake muafaka wa kutimiza ahadi yake aliyo ihaidi kwenye kipindi cha kampeni ya mwaka 2015 ya...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu nimeshangaa sana mwanangu aliponiuliza "Hivi gharama zinazotumika kwa sherehe hizi ni shilingi ngapi?" Huyu mwanangu sijui alifikiri nini kuniuliza hivi! Hakujua hata mzazi sijui. Hivyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimekuwa msomaji mzuri sana wa mijadala mbalimbali hapa jamvini. Labla kutokana na sababu binafsi nilishindwa kupata maamuzi ya kuwa pamoja na kujadili hatma ya taifa letu. Nimekuwa nikifuatili...
1 Reactions
86 Replies
7K Views
NIMEKUWA nikiwasikia baadhi ya watu wanasema eti wabunge vijana wa vyama vya upinzani, wanafanya vurugu bungeni. Mara nikamuona Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai akiwatoa nje wabunge sita wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni wakati wa kuahirisha kikao cha leo asubuhi dakika tatu zilizopita. Kulikuwa na msuala matatu yaliyojitokeza bungeni moja la Waziri kuja bungeni na kutoa kauli ya serikali kwa mdomo bila kuwa...
30 Reactions
56 Replies
6K Views
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Steven Wassira, amejikosha kuhusu kauli aliyoitoa dhidi ya Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, ambaye pia ni Mwenyekiti...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Chama cha Mapinduzi CCM mkoani Arusha kimetoa pongezi za dhati kwa jeshi la Polisi mkoani humo kwa jinsi lilivyomdhibiti mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema. Katibu wa Chama hicho mkoani...
1 Reactions
68 Replies
7K Views
Wana JF habari za jumapili. Leo hii katika ukumbi wa CCM NSSF kuna kongamano la vijana wa vyuo lililoitishwa na CCM wageni ni Ritz na Masele nimejisogeza kuwapa updates stay tuned....
0 Reactions
54 Replies
7K Views
Mon, Apr 29th, 2013 Mon, Apr 29th, 2013 The High Court has ordered the Minister for Tourism and Natural Resources to file his response today on claim for controversial four hunting block...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani nimeamua kusema ukweli na naamini Mwenyezi Mungu ananiona! Ni kwamba; siku sio nyingi nitakuwa ninakipenda sana Chama Cha Mapinduzi, kiasi cha kwamba hata wakiniambia kitu gani kibaya...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Najaribu kufikiri juu ya bara la AFRICA, sipata jibu kwanini Bara hili halina maendeleo ya kiuchumi, elimu, na fikira, angalia siasa za vyama vingi ni matatizo tu hakuna amani kwenye chaguzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo takribani kurasa zote za kisiasa za mitandaoni na katika vyombo mbalimbali vya habari zilitawaliwa na hatua ya kada maarufu wa CCM na mgombea ubunge aliyetoswa kwenye kura za maoni za CCM...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa hali inayoendelea arusha leo hii sioni sababu za msingi za kuendelea kukifunga chuo cha IAA cha pale jijini arusha. Mosi: Tukio la kuuaga mwili wa marehemu mwanafunzi aliyeuawa lilikuwa na...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Back
Top Bottom