Gharama za sherehe za muungano

Gharama za sherehe za muungano

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
7,907
Reaction score
1,082
Wakuu nimeshangaa sana mwanangu aliponiuliza "Hivi gharama zinazotumika kwa sherehe hizi ni shilingi ngapi?" Huyu mwanangu sijui alifikiri nini kuniuliza hivi! Hakujua hata mzazi sijui.

Hivyo basi kwa faida yangu na mwanangu naomba anayejua sherehe za muungano ziligharimu shilingi ngapi anijibu tafadhali. Najua JF ni mahali kila kitu kinapatikana. Asanteni sana.
 
Tunaweza kuyapuuza mamilioni yaliyotumika lakini cha kujiuliza ni je ilikuwa lazima tutumie kiasi hicho cha mapesa? Je isingekuwa busara mapesa hayo tukayaelekeza kutatua baadhi ya matatizo lukuki tuliyonayo? Kwa nini tutumie fedha yetu kama walevi?
 
Sio lazima kila mwaka kila sherehe ifanyike jamani!!aahh inatia hasira!iwe miaka 5 ndio wanafanya!
 
Nhhhh....sijui kama gharama zitakuwa disclosed soon, maana mwaka jana ilikuwa ndo habari ya kuuza magazeti.
 
Back
Top Bottom