meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,833
Kwa hali inayoendelea arusha leo hii sioni sababu za msingi za kuendelea kukifunga chuo cha IAA cha pale jijini arusha.
Mosi: Tukio la kuuaga mwili wa marehemu mwanafunzi aliyeuawa lilikuwa na amani na upendo na simanzi ya hali ya juu,hakukua na fujo hata kidogo.
PILI: Toka Lema na baadhi ya wanafunzi kukamatwa,wafuasi wa CHADEMA na wanafunzi waliosalia majumbani wameweza kuitunza amani.
Tatu: Kitendo cha maelfu ya wakazi wa Arusha kujitokeza kwa wingi mahakamani,kumlaki na kumsindikiza mbunge wao bila vurugu kinaonyesha watu wa arusha ni watu wa amani.
NNE:Kuna mkutano wa jumuiya ya afrika mashariki unaendelea na hali ya ujumla ni tulivu.
Sasa basi,sioni tishio lolote la amani linalofanya chuo hiki kiendelee kufungwa labda mkuu wa chuo aseme kuna sababu za kisiasa.