Tuna baraza la mawaziri na manaibu wao wanaokaribia sitini na wengi wakiwa ni wa kuchaguliwa na wananchi kuwawakilisha kutoka katika majimbo yao
Sidhani kama kama kila waziri alijua kuwa...
Wana jamvi. Nafuatilia hotuba ya waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Kagasheki. Anasema hivi: Serikali iliunda tume (timu) ya kufuatilia masuala ya utoroshaji wa wanyamapori hai kwenda Qatar. Tume...
Nafikiri uwezo wa waziri Prof:Magembe ni mdogo wizara nyeti kama hii anakubali kuja kusoma bajeti ambayo hata maji marefu (drs7) kaikataa mpaka hela ilipoongezwa je Profesa yeye hakuliona? Nina...
Hilo ni swali gumu limekuwa likiulizwa pasipo majibu na karibu na kila Kada wa CCM anayeijua vizuri sana Morogoro namna CCM imekuwa Ikizoa kura siku za nyuma.
Hii imefuatia matokeo ya hivi...
Kutokana na utaratibu wa siku hizi waliojiwekea CHADEMA wa kuchangia bungeni kwamba wanagawana dakika tanotano wachangiaji wawili mimi binafsi naona litazamwe upya. Wabuge wa CHADEMA wana mengi...
Imezoeleka kwenye hili bunge letu kuwa pale Mbunge/waziri anapodaiwa kudanganya hupewa amri na muda wa kuthibitisha kile alichokisema. Inapotokea kuwa hakuna ushahidi mbunge/waziri hupewa adhabu...
wabunge hasa wa upinzani wanapaswa kuiga mwenendo wa mnyika,mbatia,na zitto.hawa jamaa hawaropoki ovyo bungeni kama wenzao,jambo wasilolijua huwa wanakaa kimya na kuwasikiliza wenzao wanaojua...
Wana JF, Salamu.
Ni jana tu nilipata fursa ya kuongea na vijana wawili kutoka Mbalali, mkoani Mbeya na kunielezaa kuwa huko kuna CCM tu na hakuna chama kingine chenye nguvu. Mimi nikataka...
Wana Jf.
Leo nimevutiwa sana tumjadili mwanasiasa huyu ambaye anarekodi ya aina yake ktk siasa za Tz.
1. Ndiye Mwenyekiti wa Chama mkoa wa Morogoro tangu mwaka 2009 anayejituma sana.
2...
Wakuu wana JF,
Heshima kwenu ! Nimetafakari sana juu ya taasisi hii nyeti na moja ya mihimili wenye nguvu sana huu wa dola yaani Bunge na nikaona ipo haja ya kuwashirikisha katika haya mawazo...
Mikakati tuliyoiandaa sisi wana tlp hakuna wa kutuzuia kuingia ikulu 2015, na tutaichukua nchi hii sisi na ikulu tutaingia mchana kweupe vyama vyote vikituangalia kikiwemo ccm.
Moja ya mikakati...
Anasema bungeni katika hoja ya Maliasili na Utalii, eti wana Arusha watafakari hawana Mbunge wa kuwasemea, kwa kua kila siku yupo Mahakamani, kwenye maandamano. Hayo ndio maneno ya Mbunge wa viti...
Nianze tu kwa kusema kuwa nilisema hapo juu pongezi kwa chama tawala na Serikali yake toka Arusha, maana yangu ni kuwa tangu chama hiki tawala kilipo poteza jimbo la Arusha mjini kumekuwa na...
Leo tumemsikia, jaji mkuu msitaafu na Mwenyekiti wa tume ya Katiba mpya Mh Warioba akisema haya "Wanasiasa,Vyama vya siasa, Ngo, na vikundi vyvyote visihusike kwa kuwaingilia wananchi wakati wa...
Kupitia kipindi cha XXL cha Clouds FM, Mwanamuziki wa Bongo Flavor Nakaaya Sumari ameomba radhi watanzania na wanachama wa CHADEMA kwa kurudisha kadi ya CHADEMA na kuchukua ya CCM.
Anaomba...
Tangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2005, Dr Slaana Zitto Kabwe, walianzakuiweka CCM chini ya shinikizo,
na baada ya hapomashujaa jasiri wameongezeka, Mnyika, Lisu, Lema, Msigwa, Mdee, Mbowe orodha...
Publisher
United States Department of State
Publication Date
19 April 2013
Cite as
United States Department of State, 2012 Country Reports on Human Rights Practices - Tanzania, 19 April 2013...
Wana JF napata tabu sana, na hasa kutokana na huyu mama spika wetu wa bunge letu kwa sasa kwa kusisitiza mawaziri kutoa majibu kwa kifupi pale ambapo wabunge wameuliza maswali muhimu yanayo husu...
Maana mbinu zote walizopanga kwenye CC kuimaliza chadema zimeshindwa matokeo yake zinaipaisha CHADEMA zaidi.
Tokea uongozi wa Mangula ushike hatamu ndani ya CCM pengine ndio wakati CHADEMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.