Erasto..sichila
Member
- Apr 9, 2012
- 78
- 8
Najaribu kufikiri juu ya bara la AFRICA, sipata jibu kwanini Bara hili halina maendeleo ya kiuchumi, elimu, na fikira, angalia siasa za vyama vingi ni matatizo tu hakuna amani kwenye chaguzi nyingi hebu nenda Zimbabwe ni shida tu pale Uganda ni ubabe hadi leo Kenya ni kizungumukuti aliyeshinda ndiye mshakiwa wa kimataifa juu ya mauwaji ya halaiki mambo yote haya ni Africa nini tatizo, Rwanda , Bburundi ndio usiseme, Zaire inaitwa Kongo ni shida tu.
Hapa kwetu Tz kilasiku ni siasa za nani atatawala hakuna la maendeleo basi shida, nashauri waafrika tutafakari upya juu ya matatizo yetu yaani huenda tunafaa kwa utawala wa kifalme au kijeshi vinginevyo karne na karne Africa haitapiga hatua tuanza waafrika kuwaza upya nini hasa ukombozi wetu tuepukana na umasikini huenda siyo Siasa vinginevyo AFRICA, NI KALAGA BAHO fikirini tatizo si vyama kule ZAMBIA wamebadili wee wapi jamani Africa tunatatizo