KirilOriginal
JF-Expert Member
- Feb 13, 2012
- 2,161
- 1,147
Tangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2005, Dr Slaana Zitto Kabwe, walianzakuiweka CCM chini ya shinikizo,
na baada ya hapomashujaa jasiri wameongezeka, Mnyika, Lisu, Lema, Msigwa, Mdee, Mbowe orodha
nindefu hadi ngazi ya tawi nchi nzima watu tuko macho (prudence)
CHADEMA ambayo ambayo inapata nguvu ya Watanzaniawengi, haijatoa fursakwa CCM kupumua,
CHADEMA imeawaelimisha Watanzania wameamka na kwa kuiunga mkono wameifanyaCCM kuwa
suffocated na imepoteza mvuto wa kisiasa na utawala wa Taifa.
Pointi muhimu ya harakatiza Chadema ninayoikumbuka ni ile ya Orodha ya aibu (List of shame) kuanzia
pale CCMwameshindwa kabisa kudhihirisha mbele ya umma kwamba yanayosemwa naCHADEMA ni ya uzushi ...
ccm mlidhanimzaha ila kuibuliwa kwa hii siri ni dhairi ndiyo inawatesa hadi sasa, na huu nimwendelezo, mtateseka sana.
CCM na serikali yao kamawalishindwa kuficha wizi mkubwa kama huu pamoja na yaliotokea ya
EPA, KAGODA,MEREMETA na yako wazi na hili la wanyama kuuawa na kutoroshwa, nasehemu ya ardhi
kugawanywa bila utaratibu, ccm mje na majibu stahiki la sivyo mtaendelea kucheza kwata kwa amri yaCHADEMA.
Chadema tutaendelea kuweka shinikizo mpaka demokrasia ya kweli, demokrasia ya haki,
heshima na usawaitakapopatikana.
Bravo and VIVA CHADEMA!