Kutokana na utaratibu wa siku hizi waliojiwekea CHADEMA wa kuchangia bungeni kwamba wanagawana dakika tanotano wachangiaji wawili mimi binafsi naona litazamwe upya. Wabuge wa CHADEMA wana mengi ya kuikosoa Serikali KIZIWI ya Magamba. Muda wa dakika tano tu hautoshi. Mbunge kama Mnyika, Zito, Lisu, Mbowe, Mdee, Msigwa, Lema na wengine kuchangia five minutes doesn't make sense.
Labda kama sielewi, kuna option ya mbunge wa CHADEMA kuomba aongee dakika 10 zote? Otherwise uamuzi huu uwe reviewed, if possible wajigawe wachachewachache kwa kila wizara ili tupate hoja zenye mashiko na michango yenye tija kutoka chama pendwa kwa Watanzania.
Otherwise tutaendelea kusikia pumba toka mwanzo hadi mwisho toka kwa Majangili CCM.
Nawasilisha.