December 27, 2002 historia ya Kenya ilibadilika baada ya chama cha KANU kilipopoteza uhalali kuongoza nchi baada ya kuwa madarakani kwa miaka 39. Kwa hali ilivyo sasa Tanzania, si ajabu 2015...
Ningekuwa Mulongo ningeomba radhi
Edson Kamukara
NAJUA ni jambo gumu sana hasa kwa mtu mzima na tena kiongozi kukubali kujishusha kuomba radhi pale anapogundua kuwa amekosea na...
Kama utakuwa uko huru kifikra wala sio ushabiki utaona mheshimiwa ZITO ni kiongozi makini, kwann nasema ivyo? Yeye ndo chachu ya ukombozi, tazama aliingia bungeni akiwa kijana mdogo lakin mzee wa...
Warioba: Corruption tainted reform council polls
By David Kisanga
30th April 2013
Cites interference by religious and political interests
CRC chairperson, Judge...
wakati CDM walipofanya ziara yao wilayani kwetu tuliwaomba wafikishe bungeni kilio cha wananchi wa Same kupinga uchimbaji wa madini ya bauxite katika msitu wa SHENGENA. msitu wa shengena ndiyo...
Shelukindo ataka mambo mengine sio vema kusemwa bungeni mana ni kudhalilisha chama chake hivyo kuomba wapinzani wasitumie jukwaa la bunge kusema uovu wa viongozi wake.
Mbunge hawezi kuleta maendeleo jimboni mwake au kubadili chochote. Wabunge huwa na ahadi nyingi wakati wa kampeni. Eti ntaleta hiki na kile.
Huu ni ulongo.
Wabunge wetu hasa wa upinzani...
Nashangaa wabunge wa CCM Waliochangia mwishoni hawajatukana tena.hii inawezekana zile akili za kutumwa toka magogoni zimefichwa kwa muda kwa sababu ya upepo wa chadema uliowaharibia attention zao!
Wakuu
Kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya bunge kwa siku ya jana, kwa maana ya order paper, Wizara ya Maliasili na Utalii ilipaswa kuwasilisha hotuba yake ya bajeti (makadirio ya mapato na...
JUMANNE, APRILI 30, 2013 06:30 NA MWANDISHI WETU, MWANZA
MEYA wa Manispaa ya Ilemela, Henry Matata, ameibuka na kumpongeza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Shinyanga, Khamis...
Majibizano haya kwa njia ya Email yameunganisha viongozi wa kisiasa na baadhi ya vyombo vya habari, majibu ya Ndugai yanashangaza kidogo.
Angalia majibizano haya:
Thu, 25 Apr 2013
TITLE...
MEYA wa Manispaa ya Ilemela, Henry Matata, ameibuka na kumpongeza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja, kwa kuponda Baraza la Mawaziri litakaloundwa na...
Wadau kama mtakumbuka tume ya taifa ya uchanguzi imetangaza kufanyika kwa uchaguzi katika kata zaidi ya 20 Tanzania nzima, kata ya ifakara ikiwa moja wapo. Leo unafanyika mkutano wa wanachama wote...
Napenda kuwasalimu makamanda na wapigania haki popote pale walipo. Tanzania inapitia kwenye kipindi kigumu sana katika kukua kwa demokrasia ya kweli na ya haki. Watawala hawajazoea kukosolewa...
Vyanzo vyangu vinaniambia kijana huyu aliyeingia kwa mbwembwe jijini Arusha amejikuta katika nyakati ngumu baada ya kupoteza uungwaji mkono na makundi mbalimbali hapa Arusha.
Makada wa CCM...
Kwa sasa katika jimbo la Arusha mjini sehemu kubwa sana ya wakazi wake hawaipendi kabisa CCM na serikali yake.
Zimefanyika juhudi kubwa sana za haki na hila kuhakikisha wananchi wa Arusha mjini...
Wakuu,
Chama bora Tanzania Kimetajwa. Kutajwa kwa chama hicho kunaibua au kufanya kuwe na mwendelezo wa mjadala uliopo sasa kwamba ni chama kipi bora kati ya kinachotawala ama kipi kati ya vyama...
Jamaa yuko Live ITV- dakika 45, nilikuwa namheshimu lakini, anaonekana hayuko 'oriented' kabisa na mazingira na kila kitu! Elimu yake ikoje huyu daktari??? CV Please!
Leo Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea ilifanya Kikao chake cha kawaida cha baraza la madiwani. Mwenyekiti aliulizwa na Mh.diwani wa kata ya Nachingwea ufumbuzi wa ununuzi wa zao la korosho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.