Taswira ya CHADEMA 2013

Taswira ya CHADEMA 2013

MAFILILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,377
Reaction score
1,200
Mwaka 2013 umeanza kwa kuporomoka kwa CHADEMA kisiasa kutokana kwa kushindwa kwa uongozi wa chama husika kuanzisha hoja zenye mshiko kwa maendeleo ya TZ. CHADEMA imejikuta ikijikita katika siasa za majungu, uzushi, manung'uniko,kufukuzana, uwongo, uzandiki pasipo kuonyesha dalili zozote za kumkomboa mtanzania kifikra na kimaendeleo.

Hali ya CHADEMA kisiasa imezidi kuwa mbaya katika ngazi za serikali za mitaa kutokana na tabia ya wabunge na madiwani wao kususia vikao vya mabaraza ya madiwani katika maeneo husika.

Hivyo wananchi wa kata zinazowakilishwa na CHADEMA wamekuwa ni wapweke kwa vile mawazo yao na vipaumbele vyao vimeshindwa kuwekwa katika mipango ya halmashauri kwani madiwani wao wameshindwa kushiriki katika vikao vya maendeleo. Pia wabunge wa CHADEMA wameshindwa kutetea na kulinda maslahi ya wananchi waliowachangua wawapo bungeni kwa vile wamekuwa ni vinara wa kuleta fujo na kususia bunge BADALA ya kuwakilisha vipaumbele vya wapiga kura wao.

Mfano halisi ni Mbunge Tundu Lissu atokaye katika eneo lenye shida kubwa ya maji, ameshindwa kuhudhuria siku ..za uwasilishaji wa bajeti husika, pia mbunge huyu amekuwa ni kinara wa kuwatia ujinga wapiga kura wa jimboni mwake ili wasusie kutoa michango na kushiriki katika shughuli za ujenzi wa taifa. Hizo zote ni kielelezo cha siasa uchwara ndani ya CHADEMA.

Yote kwa yote, matukio yanayofanywa na wawakilishi na viongozi wa CHADEMA imekuwa ni kaburi kwa chama chao kwani siku zinavyokwenda mbele CHADEMA imekosa mashiko kwa wananchi. Viashiria vya kutosha vinajionyesha kuwa CHADEMA itaambualia patupu uchaguzi wa 2014!
 
Bora hata ungefanya usafi chumbani kwako ikizingatiwa ni jmosi kuliko kuleta vioja badala ya hoja.

Uonapo uchafu utoe ndiyo dawa pekee, wewe unataka kuishi nao??? CDM kubalini ukweli ili MBADILIKE
 
Chadema ni mpango wa Shetani lazima ushindwe tu.Viongozi wake wameshindwa kufuata makatazo ya Mungu ndo wakafungua sacoos yao
 
Mfano halisi ni Mbunge Tundu Lissu atokaye katika eneo lenye shida kubwa ya maji, ameshindwa kuhudhuria siku ..za uwasilishaji wa bajeti husika, pia mbunge huyu amekuwa ni kinara wa kuwatia ujinga wapiga kura wa jimboni mwake ili wasusie kutoa michango na kushiriki katika shughuli za ujenzi wa taifa. Hizo zote ni kielelezo cha siasa uchwara ndani ya CHADEMA.

kwani hukumbuki wabunge walivyokataa bajeti ya kilaza maghembe.swala la maji ni tatizo la kitaifa
 
Mleta mada ungeleta ushahidi ili ueleweke vema.
Ngoja nikuonyeshe jinsi ya kuweka ushahidi.
Ni rahisi sana kama hivi....

Lema+mahakamani+Arusha4.jpg
 
Nyie ni mabingwa wa kuajiri vijana na kuwabebesha mabango na kufanya fujo
 
Chadema ni mpango wa Shetani lazima ushindwe tu.Viongozi wake wameshindwa kufuata makatazo ya Mungu ndo wakafungua sacoos yao

Dada Wingu acha matusi bana!
 
Last edited by a moderator:
Chadema ni mpango wa Shetani lazima ushindwe tu.Viongozi wake wameshindwa kufuata makatazo ya Mungu ndo wakafungua sacoos yao

CCM ni Mpango unaoendelea kuabudu mambo ya Shetwani.
 
Uonapo uchafu utoe ndiyo dawa pekee, wewe unataka kuishi nao??? CDM kubalini ukweli ili MBADILIKE

hatutaki kubadilika, wewe unasemaje? Wananchi ndo wanafurahishwa na hayo ndo maana morogoro vijijini wametuchagua na kuwaacha nyinyiemu
 
Mwaka 2013 umeanza kwa
kuporomoka kwa CHADEMA kisiasa kutokana kwa kushindwa kwa uongozi wa
chama husika kuanzisha hoja zenye mshiko kwa maendeleo ya TZ. CHADEMA
imejikuta ikijikita katika siasa za majungu, uzushi,
manung'uniko,kufukuzana, uwongo
, uzandiki pasipo kuonyesha
dalili zozote za kumkomboa mtanzania kifikra na kimaendeleo.

Hali ya CHADEMA kisiasa imezidi kuwa mbaya katika ngazi za serikali za
mitaa kutokana na tabia ya wabunge na madiwani wao kususia vikao vya
mabaraza ya madiwani katika maeneo husika.

Hivyo wananchi wa kata zinazowakilishwa na CHADEMA wamekuwa ni wapweke
kwa vile mawazo yao na vipaumbele vyao vimeshindwa kuwekwa katika
mipango ya halmashauri kwani madiwani wao wameshindwa kushiriki katika
vikao vya maendeleo. Pia wabunge wa CHADEMA wameshindwa kutetea na
kulinda maslahi ya wananchi waliowachangua wawapo bungeni kwa vile
wamekuwa ni vinara wa kuleta fujo na kususia bunge BADALA ya kuwakilisha
vipaumbele vya wapiga kura wao.

Mfano halisi ni Mbunge Tundu Lissu atokaye katika eneo lenye
shida kubwa ya maji
, ameshindwa kuhudhuria siku ..za uwasilishaji wa
bajeti husika, pia mbunge huyu amekuwa ni kinara wa kuwatia ujinga
wapiga kura wa jimboni mwake ili wasusie kutoa michango na kushiriki
katika shughuli za ujenzi wa taifa. Hizo zote ni kielelezo cha siasa
uchwara ndani ya CHADEMA.

Yote kwa yote, matukio yanayofanywa na wawakilishi na viongozi wa
CHADEMA imekuwa ni kaburi kwa chama chao kwani siku zinavyokwenda mbele
CHADEMA imekosa mashiko kwa wananchi. Viashiria vya kutosha
vinajionyesha kuwa CHADEMA itaambualia patupu uchaguzi wa 2014!

Mbona viongozi wa vyama wanapata usingizi huku nyie mkikesha .Hamna la kufanya?msiwe tegemezi kwa vijembe nenda mkafanye kazi.
 
Uonapo uchafu utoe ndiyo
dawa pekee, wewe unataka kuishi nao??? CDM kubalini ukweli ili
MBADILIKE

Kwa mujibu wa Dr. wewe unasumbuliwa na ule ugonjwa unaojulikana kwa jina la UMNIOPHOBIASIS, ni ugonjwa ambao tiba yake ni ushauri tu, hata ukishauriwa na DEMU wako unapona.
 
Mwaka 2013 umeanza kwa kuporomoka kwa CHADEMA kisiasa kutokana kwa kushindwa kwa uongozi wa chama husika kuanzisha hoja zenye mshiko kwa maendeleo ya TZ. CHADEMA imejikuta ikijikita katika siasa za majungu, uzushi, manung'uniko,kufukuzana, uwongo, uzandiki pasipo kuonyesha dalili zozote za kumkomboa mtanzania kifikra na kimaendeleo.

Hali ya CHADEMA kisiasa imezidi kuwa mbaya katika ngazi za serikali za mitaa ktutokana na tabia ya wabunge na madiwani wao kususia vikao vya mabaraza ya madiwani katika maeneo husika.

Hivyo wananchi wa kata zinazowakilishwa na CHADEMA wamekuwa ni wapweke kwa vile mawazo yao na vipaumbele vyao vimeshindwa kuwekwa katika mipango ya halmashauri kwani madiwani wao wameshindwa kushiriki katika vikao vya maendeleo. Pia wabunge wa CHADEMA wameshindwa kutetea na kulinda maslahi ya wananchi waliowachangua wawapo bungeni kwa vile wamekuwa ni vinara wa kuleta fujo na kususia bunge BADALA ya kuwakilisha vipaumbele vya wapiga kura wao.

Mfano halisi ni Mbunge Tundu Lissu atokaye katika eneo lenye shida kubwa ya maji, ameshindwa kuhudhuria siku ..za uwasilishaji wa bajeti husika, pia mbunge huyu amekuwa ni kinara wa kuwatia ujinga wapiga kura wa jimboni mwake ili wasusie kutoa michango na kushiriki katika shughuli za ujenzi wa taifa. Hizo zote ni kielelezo cha siasa uchwara ndani ya CHADEMA.

Yote kwa yote, matukio yanayofanywa na wawakilishi na viongozi wa CHADEMA imekuwa ni kaburi kwa chama chao kwani siku zinavyokwenda mbele CHADEMA imekosa mashiko kwa wananchi. Viashiria vya kutosha vinajionyesha kuwa CHADEMA itaambualia patupu uchaguzi wa 2014!

Mleta mada hii ndo Taswira ya Chadema 2013 hiyo ni mikoa ya Mbeya, Iringa, Arusha wengine watakuwekea mikoa na maeneo mengine. MAFILILI
 
Attachments

  • 601695_194092144073235_964842280_n.jpeg
    601695_194092144073235_964842280_n.jpeg
    37.6 KB · Views: 115
  • 524819_10151554616024339_641010305_n.jpeg
    524819_10151554616024339_641010305_n.jpeg
    32 KB · Views: 96
Last edited by a moderator:
Unajisikiaje watu wote wanakuona hamnazo unapoleta post ya kijinga jf imeingiliwa n majangili asee
 
Mwaka 2013 umeanza kwa kuporomoka kwa CHADEMA kisiasa kutokana kwa kushindwa kwa uongozi wa chama husika kuanzisha hoja zenye mshiko kwa maendeleo ya TZ. CHADEMA imejikuta ikijikita katika siasa za majungu, uzushi, manung'uniko,kufukuzana, uwongo, uzandiki pasipo kuonyesha dalili zozote za kumkomboa mtanzania kifikra na kimaendeleo.

Hali ya CHADEMA kisiasa imezidi kuwa mbaya katika ngazi za serikali za mitaa kutokana na tabia ya wabunge na madiwani wao kususia vikao vya mabaraza ya madiwani katika maeneo husika.

Hivyo wananchi wa kata zinazowakilishwa na CHADEMA wamekuwa ni wapweke kwa vile mawazo yao na vipaumbele vyao vimeshindwa kuwekwa katika mipango ya halmashauri kwani madiwani wao wameshindwa kushiriki katika vikao vya maendeleo. Pia wabunge wa CHADEMA wameshindwa kutetea na kulinda maslahi ya wananchi waliowachangua wawapo bungeni kwa vile wamekuwa ni vinara wa kuleta fujo na kususia bunge BADALA ya kuwakilisha vipaumbele vya wapiga kura wao.

Mfano halisi ni Mbunge Tundu Lissu atokaye katika eneo lenye shida kubwa ya maji, ameshindwa kuhudhuria siku ..za uwasilishaji wa bajeti husika, pia mbunge huyu amekuwa ni kinara wa kuwatia ujinga wapiga kura wa jimboni mwake ili wasusie kutoa michango na kushiriki katika shughuli za ujenzi wa taifa. Hizo zote ni kielelezo cha siasa uchwara ndani ya CHADEMA.

Yote kwa yote, matukio yanayofanywa na wawakilishi na viongozi wa CHADEMA imekuwa ni kaburi kwa chama chao kwani siku zinavyokwenda mbele CHADEMA imekosa mashiko kwa wananchi. Viashiria vya kutosha vinajionyesha kuwa CHADEMA itaambualia patupu uchaguzi wa 2014!

2014 Siyo mbali subirini kama hamutakuja kuzimia kama mtu aliye chomwa nusu kaputi.
 
Viashiria vya kutosha vinajionyesha kuwa CHADEMA itaambualia patupu uchaguzi wa 2014![/QUOTE said:
Ukitaka kujua unachokiongea fuatilia uchaguzi wa wajumbe wa mabaraza ya katiba ngazi yz mitaa/vijiji utajua kama ni pumba ama mchele
 
Back
Top Bottom