Tamko la UVCCM Arusha juu ya Husein Bashe na Lema

Tamko la UVCCM Arusha juu ya Husein Bashe na Lema

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,104
UVCCM-Arusha-mjini-kuhusu-Bashe-na-kukamatwa-kwa-Godbless-Lema-April-29-2013.png

UVCCM-Arusha-mjini-kuhusu-Bashe-na-kukamatwa-kwa-Godbless-Lema-April-29-2013-2.png

.
UVCCM-Arusha-mjini-kuhusu-Bashe-na-kukamatwa-kwa-Godbless-Lema-April-29-2013-3.png
 
Kwa iyo walitaka Lema aende ofisini aka-sign kitabu cha wageni, wakati tayari kuna vurugu sio?

Je mkuu wa mkoa alisomewa taarifa na kusaini kitabu cha wageni kabla ya kuomba kipaza sauti?

hahahahah hii kali nimecheka hadi basi
 
Kijana hata kutoa tamko hajui,akili au matope

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
hata maandishi hayana mtiririko wa kujibu hoja ni mipasho no any issue we can see there is connection
 
Kwa iyo walitaka Lema aende ofisini aka-sign kitabu cha wageni, wakati tayari kuna vurugu sio?

Je mkuu wa mkoa alisomewa taarifa na kusaini kitabu cha wageni kabla ya kuomba kipaza sauti?
Walioandika hiyo taarifa wamesukumwa na hofu tu, hawajui wakikaa kimya kutatokea nini.wanatumiwa tu kama mpira wa kivulana
 
Umasikini wa akili ni mbaya zaidi kuliko umasikini wa kipato, Saidi endelea kulamba viatu vya Mulongo ukija kuelewa umbumbu wako it will be too late! pole sana
A big up Bashe
 
Matatizo ya Vijana wa CCM siyo makosa lao ....................... nafikiri ni GENETICS!!!


Tuwaonee huruma maana wamerithi UFISADI, UONGO, MAJUNGU NA FIKRA za wazazi wao!! Nownder wanarithishana. Kweli CCM ina wenyewe!!
 
Said A. Said nafikiri umekurupushwa utoe hili tamko ila ulichofanya ni mwendelezo wa sarakasi ambazo zinazidi kuwacha uchi! Wakati lema anaongea na wanachua wa IAA alikuwa na Uongozi wa chuo Yaan Makamu Mkuu wa Chuo Bw. Kasidi,Dean of student Bw. Nanyaro,Bi. Hellen na Raisi wa serikali ya wanafunzi.Na Maongezi ya Lema na Wanachuo pamoja na uongozi wa chuo ulizaa matunda ya wanafunzi kutoandamana.Kuhusu la Bashe ni Mtizamo tu Ili hali nyie UVCCM hofu ikiwa isijekuwa ni wewe pekee yako siyo wote mnaona Magesa ni mchapakazi Ila kwasababu safari imeanza Time will tell.
 
Endelea kumramba miguu huyo house boy kwani hata yeye alimrsmba bosi wake miguu akafika hapo
 
Kijana saidi, Mkuu wa mkoa wenu ni mzigo; watendaji kama hawa ndiyo wanayoiua CCM, mnahangaika na CDM wakati wauaji wa chama chenu wamo ndani yenu. Sasa anasababisha mnakosa kata zote, tena mtumie ujanja wa kutoisajiri uchaguzi kata ile moja, vinginevyo umeya unaenda CDM.

Poleni sana.
 
Back
Top Bottom