Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA Arusha - Mei 02, 2013

Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA Arusha - Mei 02, 2013

Arushaone

Platinum Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
15,237
Reaction score
13,567
Ni wa kuongea na mbunge na kuimarisha chama. Itakuwa viwanja vya ngarenaro primary & secondary schools.

Makamanda Mungi, Crashwise [andaa ile magic camera] Filipo Mzee wa Rula LiverpoolFC tuwaambie wengine. SAA 9.

Niko eneo la tukio viwanja vya Ngarenaro watu ni wengi sana licha ya kuwa hali ya hewa sio nzuri(mvua inaweza kunyesha wakati wowote)lakini raia wameapa kukaa hata ikinyesha mvua ya matofali

Nitaeleta update zote
=========
Picha
 
Ah! Mtafanya mikutano hata kumi kwa wiki lakini wananchi tumejua CHADEMA hawaitakii mema nchi yetu.
 
Mje na taarifa kwanini Kata ya Sombetini haitakuwa na uchaguzi wa Diwani. Hii ni kinyume na katiba ya nchi kutikuwa na mwakilishi zaidi ya mwaka.
 
Ah! Mtafanya mikutano hata kumi kwa wiki lakini wananchi tumejua CHADEMA hawaitakii mema nchi yetu.

Umetumia kipimo gani? subiri uchaguzi unaokuja ndio useme hayo. usijejiingiza mkenge kama viongozi wetu wanaokana leo halafu kesho wanaanza kuficha taarifa na kuogopa kwenda kwa wananchi. Kuwa mpole kwanza
 
Ah! Mtafanya mikutano hata kumi kwa wiki lakini wananchi tumejua CHADEMA hawaitakii mema nchi yetu.

Hehehehe.... Muulize Mwigulu Nchemba nini kilimpeleka kufanya mkutano jana kwenye jimbo la mwimba taarabu mwenzie Livingstone Lusinde! Hatulali mpaka kieleweke kudadadadeki..... Na hivi twawasubiria kwa hamu kuwaramba kwenye chaguzi za madiwani.... Jasho la pua lazima liwatoke wezi wa tembo nyie!
 
Niko eneo la tukio viwanja vya Ngarenaro watu ni wengi sana licha ya kuwa hali ya hewa sio nzuri(mvua inaweza kunyesha wakati wowote)lakini raia wameapa kukaa hata ikinyesha mvua ya matofali

Nitaeleta update zote
 
Kamanda Lema mwabieni asisahau kuzungumzia Kinana premium lager-aka Ndovu.hii inabidi iwe ni ajenda muhimu kila mikutano ya hadhara inapofanyika,wananchi welezwe kwa ufasaha pato la taifa linalopatikana kutokana na utalii na waelezwe jinsi Tembo wanavyokadiriwa kuisha in 7 years to come.nadhani kuna haja ya kulitangaza jambo hili kila mahali na wezi wetu tuwataje kila mahali na kuwazomea kila wanapoonekana,maana hatuna kingine zaidi,sababu kama ni mahakamani hawapelekwi vile ndo wao wao,haingii akilini eti meli ibebe mzigo na usijue kuna mzigo gani na ni wa nani,na hata hivyo Kinana alishaanza kutajwa kujihusisha na ujangili tangu alivyokuwa waziri wa ulinzi
 
Ah! Mtafanya mikutano hata kumi kwa wiki lakini wananchi tumejua CHADEMA hawaitakii mema nchi yetu.
avatar32492_5.gif
 
Umeshafika Lumumba street kupokea chako siyo? Ama jana umelalia mshipi nini?

Mtumwa mjinga wewe unatoa mapofu humu mpaka unanuka,na hata hauna haya na ujinga wako unaopost!

Ah! Mtafanya mikutano hata kumi kwa wiki lakini wananchi tumejua CHADEMA hawaitakii mema nchi yetu.
 
niko eneo la tukio viwanja vya ngarenaro watu ni wengi sana licha ya kuwa hali ya hewa sio nzuri(mvua inaweza kunyesha wakati wowote)lakini raia wameapa kukaa hata ikinyesha mvua ya matofali

nitaeleta update zote
dah Mungu nisaidie
 
Shangwe, kamua baba, kamua mkuu...picha ni mhimu... Mulongo naye atakuwepo?...asipokuja hapo atapata taarifa kutoka kwa maafisa usalama wa CCM
 
Shangwe, kamua baba, kamua mkuu...picha ni mhimu... Mulongo naye atakuwepo?...asipokuja hapo atapata taarifa kutoka kwa maafisa usalama wa CCM

Akijaribu kujitokeza ntajua kweli yeye ni mwanaume
 
Saa nyingine acheni USHABIKI ULIOZIDI mkaacha kuzungumza yaliyo halisi! SIDHANI KAMA KUNA MTU AKAYEKUBALI MVUA YA MATOFALI IMNYESHEE KISA CDM WANA NINI?
 
Niko eneo la tukio viwanja vya ngarenaro watu ni wengi sana licha ya kuwa hali ya hewa sio nzuri(mvua inaweza kunyesha wakati wowote)lakini raia wameapa kukaa hata ikinyesha mvua ya matofali

Nitaeleta update zote

utupe update mkuu tuko pamoja nategemea watu watakua wengi sana tokea usa river, sekei ,njiro,kwa mrombo, moshono,sakina, sombetini, ngaramtoni na hata kutoka jimbo la lowasa monduli viva cdm aluta continua
 
Saa nyingine acheni USHABIKI ULIOZIDI mkaacha kuzungumza yaliyo halisi! SIDHANI KAMA KUNA MTU AKAYEKUBALI MVUA YA MATOFALI IMNYESHEE KISA CDM WANA NINI?

we ndo uwezi ila hiyo ni kawaida hasa kwa wakazi wa arusha
 
Tupeni live updates za huo mkutano au bado haujaanza
cc Mungi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom