Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CCM kupitia kada wake Mzee Bulembo,wameapa kusalia madarakani kwa gharama zote. Source,gazeti la uhuru
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Dk.Shein-Maalim Seif alipendekeza jina lake kuwa Makamu wa Rais Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein amesema alipokea jina la Maalim Seif Sharif Hamad kutoka Chama cha CUF ili kuliteua kuwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
huo ni muendelezo wa siasa na mzaha kwa Watanzania kunakofanywa na serikali ya CCM kwenye masuala nyeti. Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA), limemtaka Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mara nyingi yamekua yakisemwa mengi,pengine ni kutokana na msukumo wa kimakundi kutokana na ukuaji wa chama ama vinginevyo.Watanzania wamekua wakiendelea kushuhudia mengi toka kwa wabunge wetu wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
kuchakachua matokeo kwa kujaribu kubadili madaraja ni kupika matokeo. Yani kutoa matokeo ya kutengeneza na si matokeo halisi ya walichopata watahiniwa. Unaweza kudhani suala hili ni geni lakini...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Tarehe 15 April 2013 nilileta taarifa hapa janvini kwa kichwa cha habari waliofeli kidato cha IV 2012 kujiunga kidato cha V. Kwa walio wachache walinielewa kwa urahisi na wengine walihitaji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika ukomavu na uzalendo wa hali ya juu, Prof. Baregu kawajibu viongozi wa juu ya CHADEMA kile wasichokitarajia. Alitakiwa kujitoa tume ya marekebisho ya katiba Prof.akajibu.."if i have to...
11 Reactions
239 Replies
18K Views
Hapa tunapoongea kuna Watanzania wenzetu maisha yao yapo hatarini, wengine wameshakuwa vilema wa maisha, wngine wanagugumia kwa maumivu yasiyo na kifani, kuanzia watoto, wamama na wababa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hebu mnaojua wanachama wa hii kambi tuwataje na kuwajua ubora na udhaifu wao ili kujua kama watapenya ama laa kwa kuanza mimi nawataja Ridhwani ambaye ndio chief maker wa huu mtandao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, Jioni ya leo chadema kimemteuwa Adriani Tizeba kugombea udiwani kata ya Lugata kisiwani Kome jimbo la Buchosa Wilaya ya Sengerema. Hapo kabla Adrian tizeba alikuwa diwani kupitia CCM na...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Ndiyo wanabodi . Katika kuendeleza vuguvugu la mabadiliko ( M4C ), jioni hii Makamanda toka wilayani geita chini ya Kamanda Rogerz Mwana wa Luhega, mbunge kivuli jimbo la geita watapiga...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimefuatilia kwa makini mjadala wa bajeti ya maliasili na hasa hotuba ya MH. MSIGWA (MB) wa IRINGA mjini kumtaja waziwazi katibu mkuu wa chama cha mapinduzi kuwa anahusika katika biashara ya meno...
0 Reactions
2 Replies
947 Views
Heshima kwenu wanajf. Sasa tukubali kwamba CCM badala ya kutimiza adhima yetu watanzania ya kupigana na kuwashinda maadui wetu - umaskini, ujinga na maradhi CCM imejenga urafiki wa "pete na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana CDM na wapenda Maendeleo wote wa Morogoro, ninakusudia kugombea Ubunge jimbo la Morogoro Mjini mnamo 2015. Tunahitaji mabadiliko Morogoro na haya yanahitaji ushupavu na weledi unaogusa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wapenzi na wanaCHADEMA wanatoka kwenye hayo maeneo...tunawakaribisha kwenye vikao vya maandalizi ya uzinduzi wa kanda ya kusini kwa dar vinafanyika kila jmosi makao makuu saa 9:00 jioni.
0 Reactions
91 Replies
7K Views
WanaJF, naomba maoni yenu na kueleweshwa vizuri kuhusiana na hili swala. --- Mgawanyo wa ruzuku kwa vyama vya siasa hapa nchini Tanzania ukoje? --- Vyanzo vya ruzuku hizi ni nini? ---...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
JINAMIZI la kashfa za ufisadi limeendelea kuwaandama Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa na aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambaye sasa ni Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
CHADEMA INATAKA KUJITOA MCHAKATO WA KATIBA Kama ni mfuatiliaji wa siasa zetu chama kikuu cha upinzani Tanzania chadema walipendekeza tuwe na katiba mpya kwani iliyopo inamapungufu na hoja kama...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Hakuna asiye jua siasa ktk vyuo vikuu vya tanzania zilipigwa malufuku baada ya kuona chadema ni tishio kwa chama tawala. Ukweli ni kwamba chadema munavijana wengi sana vyuon likini hatuoni mipango...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika hali ya kujiandaa rasmi na pilika za kugombea urais 2015,Edward Lowasa katika kikao chake cha Ndani alichokifanya na wazee wa Mtwara wakati akipita kuelekea kwenye mazishi ya kifo cha...
5 Reactions
47 Replies
4K Views
Back
Top Bottom