Mh. Mnyika, Mburahati wanahitaji kadi za uanachama CHADEMA

Mh. Mnyika, Mburahati wanahitaji kadi za uanachama CHADEMA

muntu marwa

Senior Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
155
Reaction score
26
Mh. Mnyika najua kuna mgawanyo wa madaraka jimboni na nchi kwa ujumla ila napenda kutumia nafasi hii hasa eneo unaloongoza jimbo la Ubungo katika kata ya Mburahati wananchi wengi wanaitaji kadi hasa akina mama.

S
ijui viongozi wa kata wanafanya nini pale ofisini badala ya kuitisha mikutano wananchi wapate fulsa ya kupata kadi na kuelewa CHADEMA sera zake.

N
nakushauri na kukuomba swala hilo lifanyiwe kazi kunawaitaji wengi sana maeneo ya Mburahati Barafu eneo lipo kubwa la mkutano uwanja wa Santos pale.

Mungu ibariki CHADEMA na M4C.
 
CHADEMA hawawezi kufanya mkutano mahali hadi wawe na uhakika wa kupata michango kutoka kwa wananchi wa eneo husika.

Ukiona CHADEMA hawajafanya mkutano katika eneo lako basi ujue wameshafanya survey wakaona nyie siyo wachangiaji wazuri.

Wakishakusanya hela zenu huwezi kuona taarifa za mapato na matumizi.

Long story short, hela wanazowachangisha kwenye mikutano ndiyo hizo wanazokopeshana makao makuu.
 
SIO UKO TU, SISI WA KIGAMBONI MGOMBEA UBUNGE WETU MH. MAMA KOMU TUNAKUOMBA UJE JAPO UTUMOBILIZE, CCM WALICHAKACHUA MATOKEO KWANI TULIKUPA KURA NYINGI

PIA TUNAZIKUMBUKA AHADI ZAKO WAKATI ULE WA KAMPENI TNAONA WAZI KUITAJIKA KWAKO KWANI NI WAZI UYU KINDUNGULILE YUKO BIZE AKILUMBANA NA MADIWAN WA CHAMA CHAKE JUU YA ARDH YA KIGAMBONI NA SGPG MASUALA YA MAENDELEO YETu
 
CHADEMA hawawezi kufanya mkutano mahali hadi wawe na uhakika wa kupata michango kutoka kwa wananchi wa eneo husika.

Ukiona CHADEMA hawajafanya mkutano katika eneo lako basi ujue wameshafanya survey wakaona nyie siyo wachangiaji wazuri.

Wakishakusanya hela zenu huwezi kuona taarifa za mapato na matumizi.

Long story short, hela wanazowachangisha kwenye mikutano ndiyo hizo wanazokopeshana makao makuu.

TEJA ILO ASBUI ASBUI LISHAPEWA ELF7, LIMEBWIA MAUNGA LINAKUJA KUBWABWAJA aka KUNYA LIKITUMIA MDOMO
 
CHADEMA hawawezi kufanya mkutano mahali hadi wawe na uhakika wa kupata michango kutoka kwa wananchi wa eneo husika.

Ukiona CHADEMA hawajafanya mkutano katika eneo lako basi ujue wameshafanya survey wakaona nyie siyo wachangiaji wazuri.

Wakishakusanya hela zenu huwezi kuona taarifa za mapato na matumizi.

Long story short, hela wanazowachangisha kwenye mikutano ndiyo hizo wanazokopeshana makao makuu.

Wivu + karoho kuuma pole kwa kuathirikia,vp mmemaliza kutwangana?Huwezi kuzuia M4C ndo kwanza mambo yaenda kadili ilivyo na Tanganyika ndo hiyo yaja.Vp mkwishamaliza kusahihisha mitihani kidato 4?
 
Tupo pamoja kadi zinatakuja baada analysis kufanyika eneo husika kwani hatutaki kutoa kadi za chama chetu CDM alafu aje nape na mwigulu wazichukue bila sababu yoyote
 
ata ukukwetu utete rufiji tunaitaji kadi za chadema maana vijana wanataka mabadiliko ccm wamechokwa mnyika tunakuomba ufike araka iwezekanavyo
 
hivi wakuu kadi za Ccm zinapatikana bure au zinauzwa kama za chadema?
nina kadi ya chadema ila ninahitaji ya ccm kwani najua uchaguzi mkuu ujao pesa za rushwa zitakuwa njenje.
kula ccm kura....
 
CHADEMA hawawezi kufanya mkutano mahali hadi wawe na uhakika wa kupata michango kutoka kwa wananchi wa eneo husika.

Ukiona CHADEMA hawajafanya mkutano katika eneo lako basi ujue wameshafanya survey wakaona nyie siyo wachangiaji wazuri.

Wakishakusanya hela zenu huwezi kuona taarifa za mapato na matumizi.

Long story short, hela wanazowachangisha kwenye mikutano ndiyo hizo wanazokopeshana makao makuu.

Vipi ule utruzi wa wakuu wa mikoa na wilaya unafanyika lini, umeshaomba upangiwe maeneo ya mjini?
 
Wakuu cdm,

Hebu wekeni utaratibu hapa mtanzania akiitaji kadi ya uanachama anaipataje? waelekezeni watu vizuri- kwa mwono wangu kadi hizi zinaonekana bidhaa adimu-of course nisingependa ziangukie mikono isiyo sahihi.
 
Yani kuna mmama alichana kadi ya ccm mbele yangu akaniambia atapata wapi ya cdm nilienda ofisi ya kata wakasema zimekwisha si huyu tu mana tunafanya kuwaelimisha watu hasa akina mama mana magamba ndo wanaowategemea kwa sasa makamanda wote sasa nguvu ya ukombozi tuhamishe kwa akina mama zetu wasituangushe mana shida kwa kiwango kikubwa wanapata wao hasa maji m4c ipite kila mahali makamanda
 
Sio huko tu, pia wananchi wengi wa mbinga wanahitaji kadi hizo kama maeneo ya litembo, kigonsera, mbinga mjini, mpapa na hata kingerikiti. Mh. Mnyika wahimize viongozi wa mkoa na wilaya wafanye kazi hizo!
 
Hii inawatishia kina zemarcopolo na sumu kwani wamezoea CCM kuwanunulia watu kadi na kuwalipa posho, kisha wananunua kadi nyingi za chadema kuonyesha kwamba watu wamerudisha, kwa mwezi wa nne moro tu chadema wameuza kadi za shilingi milioni 20, ikiwa ni nape na kinana wamenunua ili kupiga picha kumbe ........ndi mchezo wenu
 
Umeambiwa hii ni Website ya Chadema mbona mnapenda misifa ya kijinga si nenda kwenye Website ya Chadomo ukandike hayo mashudu
 
Umeambiwa hii ni Website ya Chadema mbona mnapenda misifa ya kijinga si nenda kwenye Website ya Chadomo ukandike hayo mashudu

ulikua hujui wingu kama jina lako wenye akili timamu wanaelewa na kua cdm ni mkombozi wa mkoloni mweusi umelalaaa wingu lumumba ofisi zipo wazi leo
 
..kadi ni muhimu wadau lakini kutokuwa na kadi kusitufanye tukae tu..tuendelee kuelimisha na kushawishi wengine waunge mkono Chadema..kikubwa ni kufanya kazi kadi ni karatasi tu..
 
Back
Top Bottom