Uzinduzi kanda ya kusini - Lindi, Mtwara na Ruvuma

Uzinduzi kanda ya kusini - Lindi, Mtwara na Ruvuma

RUV ACTVIST.

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2012
Posts
472
Reaction score
111
[h=5]Wapenzi na wanaCHADEMA wanatoka kwenye hayo maeneo...tunawakaribisha kwenye vikao vya maandalizi ya uzinduzi wa kanda ya kusini kwa dar vinafanyika kila jmosi makao makuu saa 9:00 jioni.[/h]
 
Muulizeni mbatia alivoenda kuchochea mgogoro wa gesi mtwara atawapa habari kamili ya watu wa kusini.
 
Hivi Zanzibar tunaenda kuzindua lini hii M4C maana kila cku nasikia mikoa ya bara tu?
 
[h=5]Wapenzi na
wanaCHADEMA wanatoka kwenye hayo maeneo...tunawakaribisha kwenye vikao
vya maandalizi ya uzinduzi wa kanda ya kusini kwa dar vinafanyika kila
jmosi makao makuu saa 9:00 jioni.[/h]

mkuu, mbona hili jipya? mbona wakati kanda zingine zinazinduliwa maandalizi hayakufanyika makao makuu wala hatukuona watu wakihamasishana kupitia humu jf
 
Hivi Zanzibar tunaenda kuzindua lini hii M4C maana kila cku nasikia mikoa ya bara tu?

zanzibar hakuna chadema. ndo maana hata makamu mwenyekiti katoka kanda ya nyanda za juu kusini. wanashindwa kwenda zenji kisa ni waislam wengi
 
Wapenzi na wanaCHADEMA wanatoka kwenye hayo maeneo...tunawakaribisha kwenye vikao vya maandalizi ya uzinduzi wa kanda ya kusini kwa dar vinafanyika kila jmosi makao makuu saa 9:00 jioni.

CC

THE BIG SHOW ...KAMANDA MPAMBANAJI... KUSINI.....
 
mkuu, mbona hili jipya? mbona wakati kanda zingine zinazinduliwa maandalizi hayakufanyika makao makuu wala hatukuona watu wakihamasishana kupitia humu jf

Ni mpango tu usiwe na hofu katika maandaalizi hakuna formula au msaafu inawezakana wakazi wa kanda hiyo waishio hapa dar na mmikoa jirani wanataka kupiga tafu
 
Wapenzi na wanaCHADEMA wanatoka kwenye hayo
maeneo...tunawakaribisha kwenye vikao vya maandalizi ya uzinduzi wa
kanda ya kusini kwa dar vinafanyika kila jmosi makao makuu saa 9:00
jioni.


CC

THE BIG SHOW ...KAMANDA MPAMBANAJI... KUSINI.....

chadema hawana chao kusini. oparesheni okoa kusini ilibuma ile mbaya na walirudi kwa aibu
 
zanzibar hakuna chadema. ndo maana hata makamu mwenyekiti katoka kanda ya nyanda za juu kusini. wanashindwa kwenda zenji kisa ni waislam wengi

Haya mambo ya kuwagawa mafungu watanzania kwa imani zao za dini na makabila yanamtokea puani mwenyekiti wako Jakaya amechanganyikiwa hajui atatokaje akimtuma wassira yeye ndio anatibua mara mia kwa sasa watanzania ni sehemu ya peoples power hawajali itikadi zao za kidini wala kikabila cheki wanavyojimwaga kwenye mikutano yao
 
Ni mpango tu usiwe na hofu
katika maandaalizi hakuna formula au msaafu inawezakana wakazi wa kanda
hiyo waishio hapa dar na mmikoa jirani wanataka kupiga tafu

kufanya maandalizi hapa dar tena makao makuu inadhihirisha wazi kuwa eneo la kusini ni hatari kwa chadema. kwa hili linalofanyika ndo mnakididimiza chama maeneo ya kusini.
 
Haya mambo ya kuwagawa
mafungu watanzania kwa imani zao za dini na makabila yanamtokea puani
mwenyekiti wako Jakaya amechanganyikiwa hajui atatokaje akimtuma wassira
yeye ndio anatibua mara mia kwa sasa watanzania ni sehemu ya peoples
power hawajali itikadi zao za kidini wala kikabila cheki wanavyojimwaga
kwenye mikutano yao

mkuu, suala la chadema kuwachukia waislamu hilo liko wazi na huwezi kuikana dhambi hiyo. kila kukicha wabunge wenu wanahangaika na cd feki kuonyesha waislamu wanapanga njama za mauaji. kwa siku za karibuni alianza selasini na wiki ijayo anakuja lema. najua wabunge hao wanatumika na wachungaji wa kichaga kwa malengo yao yasiyojulikana. kwa nini wabunge wachaga wanawachukia sana waislamu?
 
kufanya maandalizi hapa dar tena makao makuu inadhihirisha wazi kuwa eneo la kusini ni hatari kwa chadema. kwa hili linalofanyika ndo mnakididimiza chama maeneo ya kusini.

unapoteza muda wa wapi umeambiwa aliyeleta taarifa hapa ni kiongozi wa chadema au ni wafuasi wa chama wana kusini wenye mapenzi mema, unajustify watu wanajisogeza kwenye chungu kikuu wewe unadoubt duh haya subiri kwamba kusini kwao ni matatizo llakini Mtwara,masasi,Newala,Tandahimba,Nachingwea,Tunduru nyumba za wana CCMzote ddown basi jiridhishe
 
Back
Top Bottom