Tizeba ateuliwa kugombea Udiwani kata ya LUGATA kupitia Chadema.

Tizeba ateuliwa kugombea Udiwani kata ya LUGATA kupitia Chadema.

CARLOS MAJURA

Senior Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
192
Reaction score
69
Wakuu,
Jioni ya leo chadema kimemteuwa Adriani Tizeba kugombea udiwani kata ya Lugata kisiwani Kome jimbo la Buchosa Wilaya ya Sengerema.
Hapo kabla Adrian tizeba alikuwa diwani kupitia CCM na aliamua kujiondoa CCM na kuhamia Chadema akipinga ubadhirifu katika halmashauri ya Sengerema, na pia Ubabe wa kifisadi wa mdogo wake yaani Dr Charles Tizeba naibu Waziri waUchukuzi.

Kwa sura halisi huu ni mpambano kati Eng. Adrian Tizeba na Eng.charles Tizeba,mpambano kati ya Daud na Goliati (kiuchumi),mpambano kati ya Wanyonge na mafisadi.

WITO:
ewe Mwananchi mnyoge na mzalendo wa nchi yetu unaombwa kusaidia Kampeini ya Chadema kwa kumchangia Eng. Adrian Tizeba chochote ulichonacho na kwa wale watakao taka kumchagia fedha wanaweza kutumia namba zake za simu ambazo ni; 0754 841003 au
0786 034952.

Asante.

 
Mkuu, hapana !! nimeshtuka, hivi majuzi nimemsikia Mwenyekiti wa chama changu, kamanda wa anga - Freeman Mbowe, kwenye mojawapo ya mikutano ya uzinduzi wa kanda akitangaza, hakuna nafasi ya uongozi ndani ya chama chetu kwa wale wote wanaotoka CCM na vyama vingine, na hii imefuatia baada ya intellejensia ya CHADEMA kubaini ya kuwa kuna mkakati wa Mapandikizi na Mamluki kuvamia chama chetu.

Je viongozi wa CHADEMA kata ya Lugata hamuoni kama mnakinzana na maelekezo ya mwenyekiti wa chama chetu ?
 
kila mh diwani mtarajiwa MUNGU AKUTANGULIE HAKIKA MUNGU AWEZA SHINDA PESA ZOTE MTUMAINIE BWANA MUWEZA WA YOTE UTASHINDA
 
Hana lolote huyu, mla rushwa wa kutupwa. Alitaka kujinufaisha kupitia tenda za halmashauri alipoona muziki hauchezeki ndio kwa aibu akajiengua udiwani ccm
 
Kapu la wajanja hilo huyu Adrian alikuwa mbadhirifu mkubwa wa pesa pale halmashauri, haya shime mazuzu changieni
 
Kapu la wajanja hilo huyu Adrian alikuwa mbadhirifu mkubwa wa pesa pale halmashauri, haya shime mazuzu changieni

Kama aalikuwa mbadhilifu ni kwa hao mabadhilifu wenzake lakini huku alipoingia lazima awe mtakatifu maana swala tano atainama tu na kujihukumu kwa matendo yake. Tumpe sapoti jamani
 
Kama aalikuwa mbadhilifu ni kwa hao mabadhilifu wenzake lakini huku alipoingia lazima awe mtakatifu maana swala tano atainama tu na kujihukumu kwa matendo yake. Tumpe sapoti jamani

Swala 5 na Adrian wapi na wapi?
 
Ukikaa na mwizi lazima nawewe uwe mwizi,alikaa na wezi mafisad nae akawa km wao ili waendane. Sasa alikohamia no uchafu huo,naye atakuwa km walioko huko. Tulia wewe.
 
mh, tukianzisha thread kwa kila kata na mgombea wake wa udiwani humu JF itakua balaa ya mabalaa
 
Kaka Mwita Maranya unamjua huyu jamaa vizuri kweli unayemtakia kila la heri kwenye uchaguzi huo??!!

Tunacho kitaka hapa ni chadema ishinde sisi atutaki kusikia habari za ccm....hata kama wangesimamisha jiwe au mbuzi kwa tiketi ya chadema tutapiga kura...lakin habar ya ccm kwetu atutaki kusikia
 
kila la kheri tizeba

uyu mshikaji ni noma pia jembe na hana tamaa ya uongoz bali hali ya watu wake ndo imemfanya ajitoe ccm na kugombea upande wa chadema. na ata akiutaka ubunge lzm atamshinda mdogo wake ni v strong

kna jembe jingine liko sengerema. hamisi mwagao tabasam ni jembe nae kajitoa udiwan ccm kupinga dhuluma kwa watu wake. ccm wanalia
 
Back
Top Bottom