kuelekea uchaguzi 2015 kambi ya membe

kuelekea uchaguzi 2015 kambi ya membe

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,681
Reaction score
3,758
Hebu mnaojua wanachama wa hii kambi tuwataje na kuwajua ubora na udhaifu wao ili kujua kama watapenya ama laa kwa kuanza mimi nawataja

Ridhwani ambaye ndio chief maker wa huu mtandao

Christopher Ngubiagayi huyu katibu mkuu wa mkoa wa vyuo kikuu yeye anatumika kusuka mtandao vyuoni kwa maelekezo ya ridhwani rejea maandamano yaliyokuwa yafanyike na wanavyuo vikuu kuhusu uchaguzi wa uvccm

Steven masele huyu naibu waziri wa madini yeye amevutwa kwenye mtandao na ridhiwan kwa uswahiba wao

Mama salma kikwete huyu mama aligombea nec ili kuongeza nguvu pia amejipanga 2015 kugombea ubunge lindi vijijini

Nyalandu huyu pia anandoto ya kuwa waziri mkuu membe akishika dola

Hebu kwa leo tuwatazame kwanza hawa
 
Tatizo la nchi si membe hata akija yaleyale Mkapa alisema sera za ccm hazitekelezeki Kolimba nae alisema ccm haina dira sera Wala Muelekeo amkeni watanganyika haitatokea hata siku Moja ccm wakasema wameshindwa Hawa tuwaondoe kwa nguvu
 
Hakuna jipya

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hebu mnaojua wanachama wa hii kambi tuwataje na kuwajua ubora na udhaifu wao ili kujua kama watapenya ama laa kwa kuanza mimi nawataja

Ridhwani ambaye ndio chief maker wa huu mtandao

Christopher Ngubiagayi huyu katibu mkuu wa mkoa wa vyuo kikuu yeye anatumika kusuka mtandao vyuoni kwa maelekezo ya ridhwani rejea maandamano yaliyokuwa yafanyike na wanavyuo vikuu kuhusu uchaguzi wa uvccm

Steven masele huyu naibu waziri wa madini yeye amevutwa kwenye mtandao na ridhiwan kwa uswahiba wao

Mama salma kikwete huyu mama aligombea nec ili kuongeza nguvu pia amejipanga 2015 kugombea ubunge lindi vijijini

Nyalandu huyu pia anandoto ya kuwa waziri mkuu membe akishika dola

Hebu kwa leo tuwatazame kwanza hawa
Mwal kaswende Lukuvi, Gono Lusinde Kibajaji, Juliana Nchemba nao ni sehemu ya mtandao... Nina swali moja tu la msingi kwa wanaCCM na mashabiki wake...Hivi kambi au mtandao ndo utakao tuletea maendeleo tunayoyakusudia kama nchi ama ni sera plus viongozi wenye maono plus attitudes towards maendeleo?...Mmebugi Men!...
 
Back
Top Bottom