Mahakama kuu kesho: Ruling ya kesi ya lwakatare

mwaikenda

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2011
Posts
903
Reaction score
144
Kesho, tarehe 08.05.2013 mahakama kuu Dar es salaam itatoa uamuzi wa kesi ya kinachodaiwa "UGAIDI" inayomkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Kamanda Wilfred Muganyizi Lwakatare.

Mahakama Kuu itatoa uamuzi wa kuifutilia mbali kesi hii na kumuacha huru Lwakatare ama kuamuru isikilizwe kesi namba 6 iliyofunguliwa mara ya kwanza kabla ya kukamatwa kwa mara ya pili na kufunguliwa mashtaka yale yale na watu wale wale kwa namna ile ile ya kihuni.

Makamanda wapigania Mabadiliko na Demokrasia ya kweli Tanzania mnahamasishwa kumiminika kwa wingi Mahakama kuu jijini Dar es salaam kwa ajili ya kumpa sapoti kamanda Lwakatare.
 
Kesho ni tarehe 08.05.2013, siyo 09.05. 2013! Sasa una maana ya tarehe hiyo au kesho?
 
asante kwa taarifa, angalau kesho upepo ubadilike toka Bungeni na Arusha!! halafu Vp Kama Ungesema tu ''KESHO KESI ITAOLEWA AMUZI AMA KUIFUTA AU KUONA ANA MASHITAKA YA KUJIBU'' au ndo hivyo tena unawatayarisha wasomaji kujiandaa na posts kama itakua NDIO AU LA!!!!!? anyway nahisi kama atakuwa huru na kukamatwa tena nje ya jengo!!!!! na movie itaendelea........
 
Kesho, tarehe 09.05.2013 mahakama kuu Dar es salaam itatoa uamuzi wa kesi ya kinachodaiwa "UGAIDI" inayomkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Kamanda Wilfred Muganyizi Lwakatare.

Achilia mbali kuwa video ile ilkuwa ya kweli kabisa , hata kama angekuwa amesingiziwa binafsi siwezi kuunga mkono ugaidi hata chembe moja, Magaidi wenzake mna haki ya kwenda kwa sababu hamna tofauti na m23 kwani hata wao wanaona wana haki pale wanapotekeleza malengo yao. Kwa mtu yeyote aliyeangalia ile video ya LWAKATARE na ambaye hana ushabiki wa kisiasa zaidi mwenye akili timamu hawezi kufuata mkumbo wa kishabiki na kumuunga mkono LWAKATARE eti kwa sababu tu alikuwa anatekeleza majukumu ya chama.
 
Tunaamini Mahakama hawahangaiki na upuuzi wa humu JF na hivyo watatoa uamuzi ambao ni sahihi kabisa na ili iwe fundisho kwa watanzania wengine wenye akili kama za akina LWAKATARE na mwisho wa siku Tanzania ibaki kuwa salama.
 
Kesho ni tarehe 08.05.2013, siyo 09.05. 2013! Sasa una maana ya tarehe hiyo au kesho?
Hana uhakika na anachokiandika na ndiyo maana anapiga majungu tu humu JF, hivi na ushahidi wote ule LWAKATARE ataponea wapi? kule hakuna siasa tena pale ni sheria inachukua mkondo wake.
 
Huyu bwana Lwakatare anatakiwa afungwe kifungo cha maisha,haya mambo ya ugaidi ni kuyakomesha kabisa,na hao wakina victor na Lema ni watu wa kuhojiwa vizuri kwa yalitotokea Arusha,washughulikiwe.
 
Kesho, tarehe 09.05.2013 mahakama kuu Dar es salaam itatoa uamuzi wa kesi ya kinachodaiwa "UGAIDI" inayomkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Kamanda Wilfred Muganyizi Lwakatare.

Mahakama Kuu itatoa uamuzi wa kuifutilia mbali kesi hii na kumuacha huru Lwakatare ama kuamuru isikilizwe kesi namba 6 iliyofunguliwa mara ya kwanza kabla ya kukamatwa kwa mara ya pili na kufunguliwa mashtaka yale yale na watu wale wale kwa namna ile ile ya kihuni.

Makamanda wapigania Mabadiliko na Demokrasia ya kweli Tanzania mnahamasishwa kumiminika kwa wingi Mahakama kuu jijini Dar es salaam kwa ajili ya kumpa sapoti kamanda Lwakatare.

Mtoa mada hujaeleweka
 
na aliachiwa na nani katika kesi ya awali ambayo inafanana na iliyopo sasa kwa 100%????
Hana uhakika na anachokiandika na ndiyo maana anapiga majungu tu humu JF, hivi na ushahidi wote ule LWAKATARE ataponea wapi? kule hakuna siasa tena pale ni sheria inachukua mkondo wake.
 
Achilia mbali kuwa video ile ilkuwa ya kweli kabisa , hata kama angekuwa amesingiziwa binafsi siwezi kuunga mkono ugaidi hata chembe moja, Magaidi wenzake mna haki ya kwenda kwa sababu hamna tofauti na m23 kwani hata wao wanaona wana haki pale wanapotekeleza malengo yao. Kwa mtu yeyote aliyeangalia ile video ya LWAKATARE na ambaye hana ushabiki wa kisiasa zaidi mwenye akili timamu hawezi kufuata mkumbo wa kishabiki na kumuunga mkono LWAKATARE eti kwa sababu tu alikuwa anatekeleza majukumu ya chama.
Sijaona ubaya wa alichokisema lwakatare katika ile video, afadhali yeye amepinga sana mambo ya uuaji na kutesa watu anachosema ni kwamba alitaka wamtishie mtu anayewavuga, which means huyu jamaa hana roho ya kikatili kama wanasiasa wetu wa chama tawala waliomwagia sumu mwakyembe na mwandosya na baadhi ya mapolisi wetu kama wale walioua jamaa wa mahenge na ku assasinate mwangosi, kinachoikuza ishu ya lwakatare ni kwaba yeye amekamatwa wakati wengine hawajakamatwa, bado namuamini lwakatare nimempa kura yangu alipokuwa cuf na alipohamia chadema na akirudi tena kugombea ntakwenda bukoba kupiga kura tena
 
Sijaona ubaya wa alichokisema lwakatare katika ile video, afadhali yeye amepinga sana mambo ya uuaji na kutesa watu anachosema ni kwamba alitaka wamtishie mtu anayewavuruga, which means huyu jamaa hana roho ya kikatili kama wanasiasa wetu wa chama tawala waliomwagia sumu mwakyembe na mwandosya na baadhi ya mapolisi wetu kama wale walioua jamaa wa mahenge na ku assasinate mwangosi, kinachoikuza ishu ya lwakatare ni kwaba yeye amekamatwa wakati wengine hawajakamatwa, bado namuamini lwakatare nimempa kura yangu alipokuwa cuf na alipohamia chadema na akirudi tena kugombea ntakwenda bukoba kupiga kura tena

bora ya wewe umekubali kuwa video ile ni genuine. ila nakukumbusha kuwa ''dennis msacky ni mtu hatari sana na haishii tu kwenye kuandika. pia yupo karibu sana na zitto'' ukikumbuka maneno hayo ndipo utakapokuja jua ni nini adhabu ya mtu hatari. lolote huweza kutokea. so lwakatare ni mtu hatari sana.
 
Achilia mbali kuwa video ile ilkuwa ya kweli kabisa , hata kama angekuwa amesingiziwa binafsi siwezi kuunga mkono ugaidi hata chembe moja, Magaidi wenzake mna haki ya kwenda kwa sababu hamna tofauti na m23 kwani hata wao wanaona wana haki pale wanapotekeleza malengo yao. Kwa mtu yeyote aliyeangalia ile video ya LWAKATARE na ambaye hana ushabiki wa kisiasa zaidi mwenye akili timamu hawezi kufuata mkumbo wa kishabiki na kumuunga mkono LWAKATARE eti kwa sababu tu alikuwa anatekeleza majukumu ya chama.

You sir; are a nincompoop (based on your statement in RED)! Kwako wewe kusingiziwa means GUILTY????
 
ila msisahau kubeba na maji ya kutosha maana yale mabomu ya michezo yakipigwa nahisi wote mtakuwa vipofu. na polisi wa sasa si mchezo, pia waheshimiwa wabunge wote wamewataka polisi waache siasa wafanye kazi yao. kwa hiyo mkipigwa mabomu kesho msianze kulalamika. ni kazi ya polisi hiyo na wameombewa fedha nyingi kununulia ya kutosha. hivyo watahakikisha wanayatumia vya kutosha kuepusha yale ya gongolamboto na mbagala
 
Kama tukipewa hela ya kula tutaenda vinginevyo tangulia
 
bora ya wewe umekubali kuwa video ile ni genuine. ila nakukumbusha kuwa ''dennis msacky ni mtu hatari sana na haishii tu kwenye kuandika. pia yupo karibu sana na zitto'' ukikumbuka maneno hayo ndipo utakapokuja jua ni nini adhabu ya mtu hatari. lolote huweza kutokea. so lwakatare ni mtu hatari sana.

Nani zaidi Ighondu au Lwakatare? na huyu Lwakatare ugaidi alijifunzia wapi?
 
Kesho, tarehe 08.05.2013 mahakama kuu Dar es salaam itatoa uamuzi wa kesi ya kinachodaiwa "UGAIDI" inayomkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Kamanda Wilfred Muganyizi Lwakatare.

Mahakama Kuu itatoa uamuzi wa kuifutilia mbali kesi hii na kumuacha huru Lwakatare ama kuamuru isikilizwe kesi namba 6 iliyofunguliwa mara ya kwanza kabla ya kukamatwa kwa mara ya pili na kufunguliwa mashtaka yale yale na watu wale wale kwa namna ile ile ya kihuni.

Makamanda wapigania Mabadiliko na Demokrasia ya kweli Tanzania mnahamasishwa kumiminika kwa wingi Mahakama kuu jijini Dar es salaam kwa ajili ya kumpa sapoti kamanda Lwakatare.
Hapo haki haipo ugaid afanye yeye halafu sisi twende mahakamani wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Back
Top Bottom