Uchunguzi wa mabomu Arusha

Uchunguzi wa mabomu Arusha

Speaker

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
6,324
Reaction score
2,244
Writer: NA

Let Us Take a break......
Jeshi la Police limesema kuwa limekama watu 6 kwenye Sakata la Bomu la Arusha na mmoja akiwa yule kijana mwenye Jina la Kikristo ambaye ni Dereva wa Boda Boda na wale wengine hawajatajwa. Mtoto aliyeshuhudia tukio alisema aliona watu wakiwa kwenye gari wakarusha bomu wakasepa....Najiuliza maswali matatu hapa.

1. Kuna Ulazima gani wa Kutaja Jina la Dereva wa Boda boda jina la Kikristo ili tuone nini nyuma yake?Kuwa Wakristo wanahusika katika Kulipua Makanisa??

2. Hawa Wengine wasiotajwa Majina ni akina nani??wanaishije nchini??waliingia lini??sio kwamba kuna danganya toto hapa ya kupenda kutaja raia wa nchi zingine katika mambo sensitive kama yule wa Ulimboka walisema Mkenya??

3. Hivi kweli kabisa hakuna Uhusiano wowote wa.......Ok wacha niishie hapa maana nilitaka Kuongea kauli ambayo ningeitwa "mchochezi".

What is the logic ya dereva wa boda boda kutajwa jina tena la Kikristo??yaani jambo hili mbona roho yangu inaukakasi??
 
Naomba tuwe watulivu na tusilaumiane. Ukweli ni Mungu ndiye anajua vema na ndiye atakaye wahukumu waovu. Kudhani dhani kutatuongezea maumivu na chuki za bure.
 
Updates!

Katika hao Waarabu wanne mmoja ni askari katika jeshi lao huko wanapotoka! Lets wait and see hawa Waarabu wanaweza kuaachiwa within two days from today! Najua mtaauliza ni kwanini? Hawa jamaa waliposhuka KLM airport walifika Arusha the day before the Bombing happen, na katika utaratibu wa sheria za nchi linapotokea jambo kubwa kama hili lazima serikali iwasiliane na mipaka yote nchini kwa wanaotoka na hata kwa wanaoingia!

Wakati jambo lile lilipotokea siku ya jumapili jamaa hawa Waarabu wanne ndio walikua on transit to the Nairobi Kenya na ieleweke kua jamaa hawa walishikiwa mpakani Namanga, kama nilivyosema hapo juu kua serikali ilishawasiliana na mipaka yote nchini ndipo tukio la hawa jamaa waliposhikwa wakiwa mpakani na kama tunavyoelewa kasumba ya wanaojilipua au kulipua mabomu ni jamii ya watu gani zaidi duniani, ndipo lilipotokea jambo la jamaa hawa kushikwa na kua Suspect kama ndio watakao husika na jambo hili au Lah.

Kikubwa ambacho tunachokisubiri ni waswahili hawa ambao mmoja wao ndio aliyerusha Bomu hilo yeye ndiye
atakayeisaidia Polisi na kusema ni nani walimtuma kufanya jambo hili!

More Updates are coming!
 
Tulieni Kimyaa FBI washakuja kuwachorea katuni za waliolipua kama walivochora kule znz hekaheka na vimbelembele vya nini?
 
Yani hata viongozi wenye "majina" ya kikristu wanatumika kuwahujumu wakristu!! Hii ni laani! Yote ni kwaajili ya kulinda cheo.
 
Kuna taarifa zingine zinasema kuwa hao warabu wamekamatwa kwa msaada wa mtuhumiwa namba1.
 
Update!

Katika Watanzania hao mmoja wao ni mwanafunzi wa shule ya msingi mojawapo katikati ya manispaa ya jiji la Arusha!

More updates are coming!
 
Writer: NA

Let Us Take a break......
Jeshi la Police limesema kuwa limekama watu 6 kwenye Sakata la Bomu la Arusha na mmoja akiwa yule kijana mwenye Jina la Kikristo ambaye ni Dereva wa Boda Boda na wale wengine hawajatajwa. Mtoto aliyeshuhudia tukio alisema aliona watu wakiwa kwenye gari wakarusha bomu wakasepa....Najiuliza maswali matatu hapa.

1. Kuna Ulazima gani wa Kutaja Jina la Dereva wa Boda boda jina la Kikristo ili tuone nini nyuma yake?Kuwa Wakristo wanahusika katika Kulipua Makanisa??

2. Hawa Wengine wasiotajwa Majina ni akina nani??wanaishije nchini??waliingia lini??sio kwamba kuna danganya toto hapa ya kupenda kutaja raia wa nchi zingine katika mambo sensitive kama yule wa Ulimboka walisema Mkenya??

3. Hivi kweli kabisa hakuna Uhusiano wowote wa.......Ok wacha niishie hapa maana nilitaka Kuongea kauli ambayo ningeitwa "mchochezi".

What is the logic ya dereva wa boda boda kutajwa jina tena la Kikristo??yaani jambo hili mbona roho yangu inaukakasi??
Hapo ulipoweka ............, una maana ya LWAka au LUDO? inawezekana kabisa manake magaidi wanakuwa na mtandao mkubwa hata OSAMA bado ana wafuasi wake wanaendeleza mashambulizi, hata hawa wakiwa lupango bado vijana wao wanaweza kufanya mambo
 
Duh, noma mkuu, hii inatokana na maneno ya uchochezi ya wanasiasa wetu, sasa unaona watoto wanalishwa sumu na kujihusisha kwenye matukio ya hatari kama haya, sijui tutaishia wapi.
 
Kuna taarifa zingine zinasema kuwa hao warabu wamekamatwa kwa msaada wa mtuhumiwa namba1.
GOOD, unajua matukio kama haya ukishamkamata mmoja unakuwa umemaliza shughuli nzima.
 
Yani hata viongozi wenye "majina" ya kikristu wanatumika kuwahujumu wakristu!! Hii ni laani! Yote ni kwaajili ya kulinda cheo.
Ugaidi siyo wa kiongozi wala mtu wa dini fulani mkuu acha hila zako hizo za kutaka kupotosha mada hii, Serikali iyashughulikie magaidi wote bila huruma na wale wote wanaodhani wako juu ya sheria watambue kuwa hilo halikubaliki katika nchi yetu.
 
Writer: NA

Let Us Take a break......
Jeshi la Police limesema kuwa limekama watu 6 kwenye Sakata la Bomu la Arusha na mmoja akiwa yule kijana mwenye Jina la Kikristo ambaye ni Dereva wa Boda Boda na wale wengine hawajatajwa. Mtoto aliyeshuhudia tukio alisema aliona watu wakiwa kwenye gari wakarusha bomu wakasepa....Najiuliza maswali matatu hapa.

1. Kuna Ulazima gani wa Kutaja Jina la Dereva wa Boda boda jina la Kikristo ili tuone nini nyuma yake?Kuwa Wakristo wanahusika katika Kulipua Makanisa??

2. Hawa Wengine wasiotajwa Majina ni akina nani??wanaishije nchini??waliingia lini??sio kwamba kuna danganya toto hapa ya kupenda kutaja raia wa nchi zingine katika mambo sensitive kama yule wa Ulimboka walisema Mkenya??

3. Hivi kweli kabisa hakuna Uhusiano wowote wa.......Ok wacha niishie hapa maana nilitaka Kuongea kauli ambayo ningeitwa "mchochezi".

What is the logic ya dereva wa boda boda kutajwa jina tena la Kikristo??yaani jambo hili mbona roho yangu inaukakasi??
hujaona usalama leo wamemtengenezea kadinari tamko kisha wakalileta hapa JF...
 
Tulieni Kimyaa FBI washakuja kuwachorea katuni za waliolipua kama walivochora kule znz hekaheka na vimbelembele vya nini?
sana tu mkuu, hapo umenena unajua mambo haya siyo ya kuingiza siasa tena.
 
Hapo nchimbi ameshindwa kuwasaidia wakatoliki, kumkamata mtu mwenye jina la kikristo ni kutaka kuharibu uchunguzi, au kudeviate targeted person or groups!
 
Updates!

Katika hao Waarabu wanne mmoja ni askari katika jeshi lao huko wanapotoka! Lets wait and see hawa Waarabu wanaweza kuaachiwa within two days from today! Najua mtaauliza ni kwanini? Hawa jamaa waliposhuka KLM airport walifika Arusha the day before the Bombing happen, na katika utaratibu wa sheria za nchi linapotokea jambo kubwa kama hili lazima serikali iwasiliane na mipaka yote nchini kwa wanaotoka na hata kwa wanaoingia!

Wakati jambo lile lilipotokea siku ya jumapili jamaa hawa Waarabu wanne ndio walikua on transit to the Nairobi Kenya na ieleweke kua jamaa hawa walishikiwa mpakani Namanga, kama nilivyosema hapo juu kua serikali ilishawasiliana na mipaka yote nchini ndipo tukio la hawa jamaa waliposhikwa wakiwa mpakani na kama tunavyoelewa kasumba ya wanaojilipua au kulipua mabomu ni jamii ya watu gani zaidi duniani, ndipo lilipotokea jambo la jamaa hawa kushikwa na kua Suspect kama ndio watakao husika na jambo hili au Lah.

Kikubwa ambacho tunachokisubiri ni waswahili hawa ambao mmoja wao ndio aliyerusha Bomu hilo yeye ndiye
atakayeisaidia Polisi na kusema ni nani walimtuma kufanya jambo hili!

More Updates are coming!

Aiseee,hii ni hatari sana
 
Hapo ulipoweka ............, una maana ya LWAka au LUDO? inawezekana kabisa manake magaidi wanakuwa na mtandao mkubwa hata OSAMA bado ana wafuasi wake wanaendeleza mashambulizi, hata hawa wakiwa lupango bado vijana wao wanaweza kufanya mambo

Kwa akili zako kabisa ukitumwa magaidi uta wafuata hao?
 
Nchi yenyewe iko uchi kila kona, nenda pale mpakani mwa Rwanda na Tanzania, kuingia Rwanda lazima ugonge mhuri tena na maofisa uhamiaji wa Rwanda wako pale 24 hours. Lakini upande wa Tanzania, huwezi kukuta mtu pale, ni juu yako kupiga mhuri au la. Hatuna viongozi wala hatuna uzalendo, tumebaki kulalama na kusingizia vitu vingine kabisa wakati sisi wenyewe ni wazembe wa kutupwa!!
 
Hapa nikisema CCM waliwahi kutamka kuwa wana mbinu zaidi ya 100 kuwatawala watanzania nitaitwa mchochezi.
Ntakuja baadaye!
 
Writer: NA

Let Us Take a break......
Jeshi la Police limesema kuwa limekama watu 6 kwenye Sakata la Bomu la Arusha na mmoja akiwa yule kijana mwenye Jina la Kikristo ambaye ni Dereva wa Boda Boda na wale wengine hawajatajwa. Mtoto aliyeshuhudia tukio alisema aliona watu wakiwa kwenye gari wakarusha bomu wakasepa....Najiuliza maswali matatu hapa.

1. Kuna Ulazima gani wa Kutaja Jina la Dereva wa Boda boda jina la Kikristo ili tuone nini nyuma yake?Kuwa Wakristo wanahusika katika Kulipua Makanisa??

2. Hawa Wengine wasiotajwa Majina ni akina nani??wanaishije nchini??waliingia lini??sio kwamba kuna danganya toto hapa ya kupenda kutaja raia wa nchi zingine katika mambo sensitive kama yule wa Ulimboka walisema Mkenya??

3. Hivi kweli kabisa hakuna Uhusiano wowote wa.......Ok wacha niishie hapa maana nilitaka Kuongea kauli ambayo ningeitwa "mchochezi".

What is the logic ya dereva wa boda boda kutajwa jina tena la Kikristo??yaani jambo hili mbona roho yangu inaukakasi??

Usisahau ya Kova na yule Mkenya mtesi wa Ulimboka!! Mbinu za kipolisi hizo
 
Back
Top Bottom