Waheshimiwa wabunge na Ndugu Wananchi. Hii ndio Hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani inayosomwa bungeni sasa hivi. Nawatakia uchambuzi mzuri.
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI...
Posted Jumanne,Mei7 2013 saa 21:10 PM
KWA UFUPI
Badala yake, halmashauri hiyo imemteua Katibu wa Jumuiya ya wazazi ya kata hiyo, Isaya Abayo kuwa Kaimu Katibu wa CCM wa kata hiyo, wakati huu...
Imeshazoeleka hapa nchini kuchakachua kura katika chaguzi mbalimbali kama ubunge, urais, udiwani, n.k. Serikali ya CCM isihamishe uchakachuaji huu kwenda kwenye elimu.
Kama kuna kosa kubwa...
Mengi yanasemwa kuhusu migogoro ya kidini iliyosababisha madhira kwa watanzania wenzetu. Kwa kuzingatia unyeti wa suala lenyewe kwa mustakabali wa taifa letu ni vema kila mtanzania mwenye habari...
Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, EMANUEL NCHIMBI amesema ukiomba kura kupitia kanisani au msikitini, ukiitwa mdini usilalamike bali ukae kimya.
Waziri NCHIMBI ameyasema hayo wakati wa...
Wana JF na wananchi kwa ujumla, nimekaa na kufikili vp nitoe mawazo yangu ili tuikomboe nchi yetu hasa kipindi hiki ambacho nchi imekosa mwongozaji makini wa kuleta maendeleo na raha ya maisha kwa...
Wakuu salaam,
Kama serikali hii ya CCM ina huruma na watu wa Tanzania kwa nini inangangania kukopa fedha zaidi kwenye mabenki na mashirika ya kimataifa wakati tunalo deni la Trillion 22?
Kweli...
Habari za leo wadau; nina mada naomba niwasilishe kwenu ili nipate ushauri wenu. Mimi kama mwanachama na mkereketwa wa CDM/M4C nahitaji kutoa mchango wangu kwa watanzania wenzangu namna ya...
Habari wana jf,tangu CHADEMA ipande chati katika medani za siasa za vyama ving nchini,watu wa lushoto hawaja bahatika kutembelewa na kiongozi yoyote wa ngazi za juu wa CHADEMA si Mbowe,wala Dr...
Akizungumza Bungeni leo, Waziri William Lukuvi amempongeza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa kwa kazi nzuri sana anayofanya na kuwa asitishike na kelele zinazosemwa juu ya utendaji wake.
Hii...
First of all I am Tanzanian,native Tanzanian,
In addition to that i am A muslim,
Hii hali inayotokea sasa katika nchi yetu inatenza nguvu sana,inaondosha uhalisia wa kidugu na mshikamano...
by JOHN BUKUKU on MAY 6, 2013
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifurahia kazi za mikono zinazofanywa na watoto wenye ugonjwa wa akili (autism) wakati alipotembelea Kuwait Autism Center huko...
Ilikuwa ni dakika za majonzi na masikitiko kwa kundi lote lililokuwa limemsindikiza uwanja wa ndege Balozi wa Papa ambaye ameondoka leo mjini Arusha kuelekea Dar, baada ya kunusurika katika...
Siku chache baada ya Wassira kumjadili kwa dhihaka na kejeli kubwa muandishi wa habari aliyeteswa kama mnyama Bwana kibanda, Leo hii Mh.Lukuvi ndani ya bunge amemsifia na kumsafisha mtuhumiwa wa...
Ndugu wanajamvi hellow! Ikiwa ni mara yangu ya kwanza kujiunga nimeona nivyema nitowe tahadhari kwa CCM. Chiluba the late President wa Zambia wakati amemushinda Kaunda alianza vyema. Madaraka...
Mh. Maige amuumbua Simbachawene kwa kudanganya bunge kuwa halmashauri zinazunguka migodi wanapoa service levy fees kumbe hakuna kitu kama hicho nchini.
Zitto nae akapigilia msumali kwa kutoa...
Zanzibar wanaserikali yao, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yenye Wizara yao ya Afya. Hili si jambo la Muungano. Fedha za wahisani juu ya miradi mbalimbali hata mafunzo tunagawana nao sawa. Cha...