Baada ya kufanya utafiti nimegundua kuwa chadema wakiingia madarakani mambo yafuatayo yatatokea nchini:
1 uzalendo utafufuka.taifa bila uzalendo ni taifa mfu.uzalendo ndio unaojenga taifa endelevu,
2 rushwa itaanza kupungua.sio siri rushwa ni janga la taifa.
3 taasisi na mihimili muhimu kuongeza ufanisi.taasisi kama tbs,tfda,mahakama nk .kuna taasisi nyingine hazifanyi kazi kabisa.madawa feki yamezagaa nchini,nchi yetu imekuwa dampo la vifaa feki.
4 elimu kuboreka.
5 michezo kurudia hali yake ya zamani.tanzania imekuwa kichwa cha mwenda wazimu kwenye michezo,
.
6 uchumi kupaa
7 mfumuko wa bei kupungua
8 migogoro ya ardhi iliyozagaa nchini kupungua
9 misingi ya utawala bora kurejea
10 kuporomoka kwa maadili kupungua
11 reli zetu kwa hakika zitaanza kufanya kazi!
nawasilisha
wadau mko huru kunisahihisha.au kuongeza mengine.kazi ni kwenu.