CCM NA Mwl. NYERERE.

CCM NA Mwl. NYERERE.

kuleha1

Member
Joined
May 8, 2013
Posts
51
Reaction score
8
Inavyoonekana CCM hawakumbuki maagizo ya baba wa Taifa mwl.Nyerere,kwa research yangu nimegundua haya ;udini,Rusha,muungano,ufisadi,unyonyaji,undugunaization ktk kazi,migodi imeuzwa.Na hivyo nakumbuka kauli moja ''Serikali corrupt kazi yake ni kufukuzana na wafanyabiashara wadogo,yani wamachinga''WAZO LAKO NDO TANZANIA YA KESHO''
 
Back
Top Bottom