NB: Video Inafuata
Operesheni Zinduka imeanza kama nilivyoahidi (jana haikuwezekana kwa sababu moja tu ya heshima ya Mch. Mtikila na haihusiani na mipango ya watu wengine). Nitajitahidi kuwa na...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya ametangaza kuwa atachukua fomu Jimbo la Bunda Mjini kupitia CCM.
Bulaya pia alishawahi kuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, amesema anajiandaa...
Bwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa...
Hii inaelezewa na mdau mmoja aliyekuwa anashiriki tenda zianazohusiana na kiwanda hicho
Dangote alipokuja kuwekeza alijua atatumia gesi na mashine zake zilikuwa designed kutumia gesi TPDC...
Dar es Salaam,
Akihojiwa juzi katika kipindi cha The Interview kinachorushwa na kituo cha East Africa Radio, Mbunge wa zamani wa Kilwa, Mhe. Suleimani Bungara almaarufu Bwege, ameendelea...
BADO SIKU 9: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii
KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili
Mazoezi huchochea homoni ya furaha, Tembea, kimbia, au fanya mazoezi...
Wakuu
Akisoma wasifu wa Marehemu Job Ndugai, Katibu wa bunge ameeleza kuwa chanzo cha kifo ni Shinikizo la damu kushuka sana, hali iliyosababishwa na maambukizi makali kwenye mfumo wa hewa.
“Kwa...
VIONGOZI wa Chama cha Wananchi (CUF) kimemtaka mmiliki wa makampuni ya GSM, Ghalib Said kutoa msaada pia kwa vyama vingine vya siasa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025...
Tundu Lissu asipojifunza sasa siku atakapo achiwa huru, kuhusu hali anayopitia sioni kama atajifunza tena.
Asipojifunza aina ya watu wanaopaswa kuwa nyuma yake ni watu wa aina gani hawezi jifunza...
Kama wewe ni binadamu na unapumua lakini mpaka dakika hii bado haujamuelewi ndugu.Humphrey polepole ambao Genge la wahuni wamembatiza jina jipya la Ndugu.mbiombio basi wewe utakua ni kilaza wa...
Meneja wa Huduma za Utangazaji katika Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Andrew Kisaka, amewataka waandishi wa habari na watangazaji nchini kuzingatia sera za vyama vya siasa katika...
It's a Joke like but in real sense Mwamba kaonyesha ana tamaa sana.
Nawaza anataka nini huko mbona title yake ni kubwa kuliko hata Mbunge kwa level ya kiutendaji na kimaslahi pia.
Je kuna access...
GT
Tusiwe wepesi wa kujizima data na kusahau wasukuma ni watu walionyooka na hawapendi janja janja sasa 2005 walimwamini sana KIKWETE tena kwa 💯 Lakini aliyoyatenda awamu yake ya kwanza ilikuwa...
Friends and Our Enemies,
Kila anaekuja hivi sasa mtaji wake umegeuka ni Tundu lisu,mara wengine utaskia utekaji...
Wanakuja sasa na vitisho mara usipofanya hivi tutafanya hivi,mara kanisa...
Siku ya ya leo tangia asubuhi hatuna umeme huku Arumeru mkoani Arsha, tatizo ni nini? Mbona hakuna hata taarifa, sasa leo tutakula wapi, kula yetu ni umeme. Tafadhali turudishie umeme.
Yawezekana ni yeye wa awamu ya 7,
1. Hapendi Rushwa
2. Hana pupa ya madaraka kwanza misingi ifuatwe
3. Anafuata sheria
4. Hana Kona kona
5. Niliwai sema sehemu kwamba yawezekana mbowe uoga wake...
Japo tuna amriwa kutii Mamlaka zilizoko duniani kwani zinatokana na Mungu, lakini kwa hali ilivyo sasa wengi wetu tunaelekea kukufuru kwa kutaka kuonyesha kuwa Mamlaka hizi zinaongozwa na...
Katoliki imesimamia nchi wapewe maua yao. Hakuna uchawa, kudanganya wala kuunga mkono mambo ya kijinga. wakatoliki wapewe maua yao
UKWELI Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.