"Kuna watu waliniuliza kama mna minimum reforms ambazo zikifanywa mnaweza kuingia kwenye uchaguzi, nikaambia Yes, kwa sababu sisi sio watu wa kuongea ongea, tumeandaa paper iko serikalini, Lakini...
Wakuu,
Wale wanetu wa No Reforms No Election, Kabudi ana ujumbe wenu hapa.
Kabudi amesema kwamba wote ambao mnataka Uchaguzi uhairishwe hamjui historia ya nchi hii
Anasema kuwa mwaka 1980...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mtiania wa ubunge Jimbo la Ukonga, Rajabu Nyangasa, amesema kuwa matendo ya Askofu Josephat Gwajima yanafanana na yale ya kiongozi wa waasi wa Uganda, Joseph...
Wakuu,
Leo John Heche kaamua kutoboa siri. Anasema kuna vyama vimeingia kwenye Uchaguzi lakini kumbe havina wagombea.
Wanachofanya wanapiga simu kwa baadhi ya wanaCHADEMA wanaahidi mahela ili...
Kwa mjibu wa Ndugu Humphrey Polepole wanamtandao ni wengi na wamejipenyeza kila mahali ili kufanikisha malengo yao.
Sasa inadaiwa kuwa katika kundi Hilo yumo mmoja ambaye ni double cross Agent...
Salaam!
1. Polepole na press zake zisizojibika zimeleta sintofahamu.
2. Gwajima na Press zake pia zimelitibua zaidi.
3. Kuzima mitandao ni sintofahamu ingine.
4. Majizi kuchangia chama, nayo...
Kwasababu serikali yetu siyo sikivu na inaamua nani awe nani asiwe wote kwa pamoja tunaweza kuacha kwenda kupiga kura siku ya tarehe 29.10.2025
👉Ushahidi upo wazi kama mama alisema magwajina yote...
"....Kuna watu ambao historia huwaita kwa jina la pekee, sio kwa mali walizokuwa nazo, sio kwa nguvu za kimamlaka walizowahi kuzishikilia, bali ni kwa misimamo thabiti isiyotikisika mbele na...
“Hatutokuwa tayari kabisa sisi na wananchi walioko nyuma yetu hatutokuwa tayari kwenda kwenye uchaguzi ambao kimsingi sera na taswira yake itakuwa ni tendo la unajisi,” amesema Golugwa...
Wakuu!
Tuko kwenye joto la uchaguzi, lakini kuna wimbi la baadhi ya watu mashuhuri kujipendekeza — au kwa lugha nyepesi, uchawa. Tabia hii binafsi siipendi, kwa sababu ina madhara makubwa kwenye...
Wizara ya Elimu nchini Ethiopia imepiga marufuku wapokeaji wa shahada za udaktari wa heshima kutumia cheo cha “Daktari” au “Dr” nje ya taasisi walizopewa heshima hiyo.
Aidha, agizo hilo limeweka...
Mgombea Urais kupitia chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP) Zanzibar, Said Soud Said amesema akiwa Rais vijana wataweza kujihusisha na kilimo cha bangi ili waweze kupata fedha za...
Mgombea nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Musa Musa ambaye ameteuliwa na Chama hicho Kata ya Lugelele Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya, amejenga kiwanda cha...
Wanajamvi:
Habari za kuaminika ni kwamba Rostam Azizi asubuhi hii ametangaza kujivua gamba rasmi katika mkutano na waandishi haabari Tabora. Anajiuzulu nyadhifa zote nakubakia na kadi ya CCM tu...
Wakuu,
Akiwa anaongea leo kwenye Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge Madiwani 2025 Kamanda Muliro amesema kuwa kazi ya Jeshi La Polisi ni kuzuia uhalifu na machafuko na...
Akizungumza na kituo cha East Afrika Redio leo Agosti 20, 2025 Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anaweka wazi kuwa hakubaliani na hii dhana kwamba...
Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anasema kwa dhati ya moyo wake kuwa Dorothy Semu ni kiongozi mzuri kuliko Luhaga Mpina.
Amani Golugwa ambaye ni naibu katibu mkuu wa CHADEMA akizungumza na jambo Tv Agosti 19, 2025 amesema kuwa endapo serikali na vyombo vinavyosimamia uchaguzi wasipo badilisha mifumo ya uchaguzi...
Mgombea urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Samandito Gombo amesema endapo chama chake kitapewa ridhaa ya kuongoza nchi, serikali yake itafuta kikokotoo cha mafao ili kuruhusu kila mwajiriwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.