Mwenyekiti Wa Jumuiya ya Umoja Wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi Ccm Taifa Na Mjumbe Wa Kamati Kuu ya Ccm Taifa Ndg Mohamerd Kawaida Amesema Kuwa Chama cha Mapinduzi Kitaleta Wagombea Ambao...
"......Huyu mzee Evarist Chahali ni sehemu ya wazushi nchini anayetegemewa na wanaharakati uchwara, Amezusha hili jambo kwamba mimi ni sehemu ya mashahidi wa siri. Ni muongo na anajua wazi ni...
Jeshi la Polisi limeagiza wananchi wajiepushe na lugha za vitisho, matusi na uchonganishi wakati huu wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu.
Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime amesema hayo...
Leo Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo, Ndugu Luhaga Mpina, pamoja na Mgombea Mwenza wake, Ndugu Fatma Fereji, watazungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari...
Hadi tunafikia uchaguzi kuna maneno yatakuwa yamesemwa, mipango kufanyika na tutaona mengi.
Za ndani kabisa wanaosukumwa na utaifa, wana ajenda kali na ngumu.
Mimi nasema, Mungu tupe uzima...
Je, anampa upendeleo wa kikodi na ushauri wa forodha?
Na kama anafanya hivyo, huu siyo uhujumu uchumi?
“Natoa wito kwa Wadau kusaidia michezo kwani uendeshaji wa michezo una gharama kubwa...
Askofu Mpemba hakutaka kukurupuka, aliingia huko huko alikoingia Makala wa CCM with facts.
Ametaja nchi kadhaa kwa ukubwa, mwaka iliuzwa, kiasi, na Wanunuzi.
Kwahio kwa hitimisho, tuna RC...
Kama Location yake inajulikana na mamlaka kabla ya hizo siku 10 atakua ameahakatwa ili asiseme alichosema kua atakisema na kila mtu atashangaa kwa hilo jambo kubwa
Ni kama ilivyokua kwa Polepole...
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mkoani Kilimanjaro kimezindua ofisi zake za Jimbo la Same Magharibi Mkoani humo sambamba na kuanza kupokea fomu za watiania walioomba ridhaa ya kuchaguliwa...
Mwanasiasa mwandamizi aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalumu CCM mkoa wa Simiyu, Mkuu wa Wilaya ya Meatu na pia Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Kanda ya Serengeti, Rosemary...
Mgombea urais kupitia Chama cha Democratic Party (DP), Abdul Mluya leo Jumatano Agosti 13, 2025 ameongoza msafara wake kuelekea Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) zilizopo mtaa wa...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita, imewakamata wajumbe wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya Nyankumbu Jimbo la Geita mjini walionekana katika picha mjongeo...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, ameonekana kuunga mkono kampeni ya 'No reform No election' ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Kumbe Hayati Magufuli, Kwa kuhakikisha Anaunganisha Nchi Kwa Barabara zenye kiwango cha Lami Tanzia nzima.
Alianzisha Ujenzi Wa Barabara Kwa Kiwango Cha Lami uliokua unaunganisha Makao Makuu ya...
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es salaam imemteua Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya na Mwanachama wa Chama hicho, Nurdin Bilal Juma (Shetta) kugombea Udiwani Kata ya...
aasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita imesema inaendelea kufuatilia kwa karibu vitendo vya rushwa vilivyodaiwa kutokea katika mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni ya...
Kwa waliosikiliza kwa makini taarifa ya Mathias Gwajima watagundua yafuatayo:
Mosi, Gwajima ni tapeli wa kawaida aliyejificha nyuma ya dini na sasa siasa ambapo anaanza kujiumbua kwa kuonyesha...
Luhaga Mpina Mgombea urais kupitia chama Cha ACT-Wazalendo akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini leo tarehe 14 Agost, 2025 katika Jengo la Maalim Seif, Dar es Salaam...
Jumla ya Wanachama Kumi 11 ambapo wakitia nia Udiwani Chama Cha Mapinduzi na kuongoza kura za maoni kati ya kata 214 za Mkoa wa Morogoro, hawajateuliwa na kugombea nafasi hizo kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.