Minara hii iwekwe kwenye bustani za kitaifa. Huko Mwanza, Dodoma, Dar na Arusha.
Anachopigania Lissu sio kwa ajili ya tumbo lake ni kwa manufaa ya taifa zima la Tanganyika
Rest in peace Dr Hassy Kitine—the former Director General of Tanzania Intelligence and Security Service (1978-1980).
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Mbunge wa Makete na Waziri...
Wanabodi
Hii ni C&P ya Barua ya wazi kutoka kwa mwana JF huyu Mwandamizi!.
Sababu ya kuileta Barua hii hapa, ni kuwajulisha wanabodi na Watanzania, kuwa tuna Watanzania wengi ndani na nje ya nchi...
Ndugu zangu Watanzania, Kila nikiutazama uchaguzi ujao haki vile nabaki mdomo wazi. Mimi ni shabikia mkubwa sana wa serikali iliyopo madarakani. Nampenda sana Rais SSH. na katika ndoto zangu...
Udhaifu wa taifa ni pale mnapotawaliwa badala ya kuongozwa. Alieleta karatasi ya kura ndio iamue na itupatie kiongozi hakumaanishi kura iheshimiwe kuliko wapiga kura. Mtawala anaweza kuamua...
Wasalaam.
Hapo tarehe 06/09/2017 jasusi la mbinguni askofu gwajima alimtadharisha lissu na kumuonya kuwa asiende Dodoma kwani akienda atauwawa kwa kupigwa risasi lakini lissu kwa kujiamini...
Baada ya domo lake kumponza, sasa Gwajima anatapatapa na kutafutwa kuonewa huruma. Anabwabwaja akidhani watu wote ni mazwazwa kama yeye. Anasema hili leo na kesho lile. Anajipiga mitama mwenyewe...
Kutokana na mwenendo wa mambo, kila siku nimekuwa nikiwaza hivi kwasababu kuna maamuzi yakifanyika, ni lazima kwanza kuwe na justification ili dunia ielewe ni kwanini watu fulani walifchukua...
"Wananchi ndiyo msingi wa Mamlaka yote, na Serikali itapata madaraka na mamlaka yote kutoka kwa wanachi".
Tumieni haki hiyo na wajibu tuliopewa kama raia kumkosoa na kumshauri Rais na Serikali...
Tangu Kenan Kihongosi aapishwe ukuu wa mkoa wa Arusha, hali ya mazingira ya mji si shwari tena kipindi ambacho ni high season ya watalii wengi kutoka ughaibuni
Barabara ni chafu
Garden za mji ni...
Kiukweli wewe ni kiongozi bora sana umeufanya mkoa wa Arusha kuwa bora binafsi nakuona ukienda kuwa kiongozi mkubwa zaidi serikali baada ya mwezi wa kumi mwaka huu 2025. Mungu akusaidie hii ndoto...
Habari za Muda huu
Kila nikiangalia Siasa za Arusha zinaonyesha kiwango cha Ujinga wa Watanzania. Naomba kuuliza
i. Makonda ana vinasaba gani na Mkoa wa Arusha. Hata kama Arusha kila mmoja ana...
Salaam!
Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
Swali Hilo hapo juu limeambatana na swali lingine kuwa, ikiwa unazo njia zingine za kushinda...
Ile ya kumfunga jela mtu mwenye risasi mwilini ambaye anaweza kuwekwa kizuizini nyumbani kwake ndio nimeielewa kisabato zaidi
Hata Yesu Kristo alikuwa anawaponya Watu kama hao ambao kwenye...
Kila Muhula wa Rais mpya wananchi wanasiasa huponda kwakila jambo linalowagusa,
Lakini Rais amalizapo tu miaka yake ya uongozi watu umkumbuka nakusema Bora yake kuliko huyu wa Sasa😁
Hata huyu wa...
Askofu Gwajima amesema, "Kiwango cha kupendwa kwa Wagombea wa CCM kiko chini"
Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
1. Nimezunguka majimbo karibu yote Tanganyika naangalia umati uliokuwa nyuma yangu. Watawapigia kura CCM? / watakwenda kupiga kura
2. Wafuasi wa madhehebu mbali mbali watawapigia kura CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.