Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
Hii inaelezewa na mdau mmoja aliyekuwa anashiriki tenda zianazohusiana na kiwanda hicho
Dangote alipokuja kuwekeza alijua atatumia gesi na mashine zake zilikuwa designed kutumia gesi TPDC walikubaliana na Dangote kuwa watakuwa wanamuuzia gesi kwa mfumo flani
Baadae TPDC wakabadilika wakasema hawatamuuzia Dangote kwa mfumo waliokuwa wamekubaliana
Waziri mkuu akaliweka sawa hilo swala, Lakini TPDC ndio wanaomiliki migodi wa makaa ya mawe wakampandishia, Dangote alitaka kusitisha project lakini wakamshauria gesi ni cheap na makaa ya mawe yanapatikana kiurahisi pia mgodi wa Kitai
Akatoa tenda kwa watu kusafirisha makaa ya mawe na makaa yenyewe yanahitajika kwa kiasi kikubwa gari maalumu aina ya tipper alikuwa anataka gari 300 kwa wakati mmoja
Makaa ya mawe yalilipiwa tani 2000 lakini walikuwa wachimbaji walikuwa wanatoa makaa ya mawe kidogo kidogo sana wanapata t tani 150 wiki hii, wiki nyingine tani 15 sababu ya uzalishaji mdogo
Makaa yakawa yanapatikana kidogo sana na sio kwa wakati ikasababisha Dangote kuagiza makaa kutoka nje, nje yanapatikana kwa wakati hadi tani 1000 kwa wakati
Waziri akazuia makaa kutoka nje, ila mashine za kuchimba makaa ya mawe Tanzania ni duni na usafiri ni shida pia
Dangote akajaribu kutumi mafuta kuzalisha simenti huku aki accumulate makaa kidogo kidogo kutoka huu mgodi wa Tanzania, lakini mafuta yakawa ni ghali sana
Negotiation zikaendelea na Dangote akakubali kutengeneza reli ya kusafirisha makaa kutoka Kitai hadi Mtwara lakini makaa hayapatikani kwa wakati