Kwa kweli nimesikitishwa na Serikali za Tanzania na SA kuingilia Uchaguzi wa DRC kwa kumtetea Kabila kubaki kwenye dola kwa Gharama yoyote ile.
Je ni Haki Tanzania kuingilia uchaguzi wa DRC na...
ndugu wana jf. Jina langu mimi ni Elineema Mosi. kuna mambo mengi sana kuhusu sintofahamu ya kupotea kwa Mh Mwigulu Mchemba hadi kupelekea wengine kuzusha mengi? kwakuwa yeye ni member naomba aje...
CHADEMA Wilaya ya Kilosa wamerusha madongo makali kwa mkuu huyo wakimhusisha na vitendo vya kihujuma anavyowafanyia Viongozi wa Chama hicho ambacho kwa sasa kimeimarika sana Wilayani humo...
Kenya's status as the region's logistics hub has again come under threat after Tanzania signed a deal with China to set up the bloc's largest port and expand Dar es Salaam's main airport.
The $11...
Akichangia katika majumuisho ya wizara ya viwanda na biashara, Mbunge wa mbeya mjini joseph Mbilinyi aka SUGU amemsifia waziri Kigoda kwa kazi nzuri ya kusimamia wizara hiyo na kuonyesha mafanikio...
5:38 PM
Ikulu
Mwenyekiti wa Chama cha CUF, Mheshimiwa Profesa Ibrahim Lipumba amekaririwa na Gazeti la Mwananchi la leo, Jumatano, Mei 15, 2013 akisema kuwa amenasa taarifa za siri za...
Wakati wabunge wengi CCM na mawaziri wake kwa ujumla huwa wanabeza michango ya wabunge wa CDM,lakini hali imekuwa tofauti kwa wabunge wa CDM,baada ya mbunge wa Mbeya mjini SUGU kumpongeza Dr...
Kwakweli viongozi wa CCM kwa sasa wanaweweseka vibaya sana mpaka wanatia aibu, wiki sasa imeisha tangu CD zinaonesha matukio na harakati mbalimbali za chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA na...
Baada ya kushindwa UWT sasa mama Kilango anajiaandaa kuondoka bungeni kwani hawezi kurudi tena bungeni 2015. Amewahadaa sana watu wa Same Magharibi kwa ahadi zisizotekelezeka na kuwalaghai na ka...
Ndiyo wakuu .
Heshima kwenu ! Kwa taarifa nilizo zipata hivi punde toka kwa Kamanda Mawazo ni kuwa muda huu anafanya mukutano pamaoja na Makamanda wengine toka Mwanza ,Shinyanga ...
Objectives and Targets of the 2012/13 Budget
Madam Speaker, the focus of 2012/2013 budget is to achieve the following:
To increase real GDP growth rate to 6.8 per cent in 2012...
Kwenye uchaguzi ulizopita wa 2010, watu wengi wa mijini lakini hasa vijijini walinufaika na offer nyingi za wagombea.
01: Wapo walinunuliwa shahada zao ili wasipige kura
02: Wapo walinunuliwa...
Nipo hapa ofisi ya mkuu wa wilaya ya Arusha ambako nimekuta kundi kubwa la wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha na nilipowauliza baadhi ya wanafunzi kulikoni walinijibu kwamba kuna barua zao...
Wanadai siyo mkazi wa ifakara. CHADEMA tumemsimamisha Peter Ambrose Lijualikali, kuwania udiwani kata ya ifakara iliyoachwa wazi kufuatia kifo cha aliyekua diwani wa ifakara ndg Ramadhani...
TUME YA MH PINDA IMETOA MAPENDEKEZO 130
Jumla ya mapendekezo 130 yametolewa na tume ya Kuchunguza Kushuka kwa Kiwango cha Ufaulu wa Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne mwaka 2012. Mojawapo ni...
Habari za uhakiki kutoka kwa wajumbe wa Tume ya Mh Pinda kuchunguza lile saga la kufeli kwa wanafunzi wamesema alichotangaza Lukuvi hakitokani na taarifa yao na wala hawajaandika ripoti yoyote kwa...
Kambi rasmi ya upinzani bungeni imesema haina imani na waziri wa viwanda na biashara Mh Dk Abdalah Kigoda katika jitihada zake za kufufua viwanda nchini kwa kile wanachodai kuwa waziri huyo huyo...
Hii ni kwa vijana wote wanaotoka jimbo la maswa mashariki kwa mhe kasulumbayi,jamani maendeleo ya jimbo le2 na wilaya nzima ya maswa naona wazee wameshindwa kuyaleta 2mewaamin kwa zaid ya miaka...
Hivi Bifu ya Waandishi wa Habari na Watu wa Uaslama Iringa Kumbe bado ipo? sasa nani atamfuata Mwangosi, na itatokeaje, na itakuwa kama ya kung'olewa kiucha? au?