Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,504
- 18,069
Wanadai siyo mkazi wa ifakara. CHADEMA tumemsimamisha Peter Ambrose Lijualikali, kuwania udiwani kata ya ifakara iliyoachwa wazi kufuatia kifo cha aliyekua diwani wa ifakara ndg Ramadhani Kiombile. Sheria inasemaje kuhusu mgombea udiwani? Nawasilisha