Safari ya Anne Kilango Malecella yaiva kuliaga Bunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Safari ya Anne Kilango Malecella yaiva kuliaga Bunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkwawa, Oct 21, 2012.

 1. Mkwawa

  Mkwawa JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 160
  Baada ya kushindwa UWT sasa mama Kilango anajiaandaa kuondoka bungeni kwani hawezi kurudi tena bungeni 2015. Amewahadaa sana watu wa Same Magharibi kwa ahadi zisizotekelezeka na kuwalaghai na ka kiwanda ka Tangawizi ambako hakapo. Pamoja na hayo anakabiliwa na matatizo mengi ya barabara mbovu, elimu kushuka kwa kasi, zao la mpunga kuporomoka, zahanati kushindwa hata kufunga vidonda amekuwa vuvuzela na haonekani jimboni.

  Wakazi wa Same wanamtakia maisha mema popote alipo na wanatamani 2015 ifike leo.

  Upande wa pili Mathayo anaonekana kakubali matokeo kwani hata kwao haendi tena.


  Chief Mkwawa Wa Kalenga
  Kwenye pita pita zake za kukagua majimbo
   
 2. A

  Antar bin Shaddad JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mkuu nakubaliana na wewe moja kwa moja kuwa anne kilango ni kati ya wanasiasa hatari nchini kutokana na unafiki wake uliobobea. Anajifanya ana uchungu sana na wananchi kwa kupigia kelele matatizo yao lakini kumbe yeye anatenda tofauti.

  Kwa mfano wakati wa kampeni za uchaguzi wa UWT alikusanya fedha kutoka watu mbalimbali hasa wafanyabiashara ambao wana rekodi chafu katika biashara zao. Alipewa milioni 25 na mkurugenzi wa kampuni ya Willy Enterprises ambayo inachimba udongo wa Bauxite kusafirisha nje ya nchi, kampuni hiyo ina haribu mazingira haifa leseni wala mikataba ya kuchimba udongo huo na Kilango alipiga kelele sana wakati wa vikao vya Bunge lakini huku nyuma anakuja kuchukua fedha za kampuni aliyokuwa anaituhumu awali! UNAFIKI MKUBWA
   
 3. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Mh Kilango ni msanii, amwshindwa na mtoto wa mjini. Hili ni pigo kwa Kilango na mume wake Malecela, jua limezama waende kulala
   
 4. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  wapare wataamua.
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Kilango bana
   
 6. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Apumzike siasa amlee mzee wetu John samuel Malecela!
   
 7. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hili ndio zao la kuwa vuguvugu!
  Mara apingane na mafisadi mara awasapoti mwisho wa siku ameshindwa kuaminika na makundi yote.nakumbuka maneno ya wahenga...mtaka yote kwa pupa...

  Bado samwel sitta
   
 8. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mbona unafki ndio sifa kuu ya wanasiasa wengi tz?sema tu mama anna kashindwa kuzichanga karata zake vizuri,subirin mtamwona atakavyotokwa povu bunge la nov.
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  asante kwa uchambuz wako,ila nionavyo mimi wanasiasa wote ni wahongo,hukiahidi wasichoweza,,,,,,hapo kwenye blue wanasiasa ni watu wa hadaa tu mdau,,,,popote pale,,,,,kwani kikwete ashakuhadaa mara ngapi????
  Kwenye red hili ni tatizo la tanzania nzima,,,,,si majimbo ya ccm wala upinzan,,,,,,just imagine dar es salaam,,,,hospitali ya taifa watu wanalala chin,kama huamini na upo dar tembelea,mwaisela,sewahaj,kibasi ikifika saa 10,vilevile si vibaya kwa kilango kufunga virago,japo nadhan si wana same woooote hawamtaki,HATA WAPAMBE WAKE?????
   
 10. C

  Concrete JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mkuu sio mama mdogo ila ni mama wa kambo.
   
 11. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,663
  Likes Received: 21,887
  Trophy Points: 280
  Hata akiukosa Ubunge sio hoja mradi katika ukoo bado wapo wengine kwenye siasa. Au hamjui kuwa LE Mutus@NYcity ni mjumbe wa kamati ya siasa ya KATA Kivukoni kama sikosei?akipanda taratibu kisiasa mpaka 2040 atakuwa mbali si mchezo
   
 12. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Tokea alipohongwa chai na ngeleja huyu mama mtoka mapovu nilimuona wa hovyo sana,all in all magamba woooote wameshapigwa laana wanachanganyikiwa tu.
   
 13. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Nimefurahi sana mpambanaji wa ufasadi ndani ya ccm kugaragazwa ndio wajue mafisadi wanamtandao mkubwa na uwezi kupambana na ufisadi ndani ya ccm
   
 14. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mimi huwa nawashangaa sana hawa watu wanawaita wenzao wezi , mafisadi ili hali wanakula wote matunda ya ufisadi.
  Huu ukinyonga ulikaribia kumpeleka mwakiyembe ahera sasa bado yeye na 6
   
 15. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ki-umri na si kisiasa
   
 16. C

  Concrete JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Anne Kilango ni mbunge wa same mashariki na sio same magharibi ambako yuko David Mathayo David.

  Nafikiri ni wakati muafaka kwa Anne Kilango kurudi na kukaa nyumbani amtunze Mzee wetu Samwel Malecella, kama anavyofanya Bi. Clasia Masheli kwa Nelson Mandela.
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hata nje ya ccm,,,refer to CHEYO JOHN,
   
 18. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Akagombee urais tu 2015
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  halafu wale nyasi???au unawahakikishia UTAWALISHA???
   
 20. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,217
  Trophy Points: 280
  Kwani mzee si alishawahi kuwa waziri mkuu?hiyo anapokea asilimia 80 ya mshahara wa pinda.hawatalala njaa
   
Loading...