PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,458
Kambi rasmi ya upinzani bungeni imesema haina imani na waziri wa viwanda na biashara Mh Dk Abdalah Kigoda katika jitihada zake za kufufua viwanda nchini kwa kile wanachodai kuwa waziri huyo huyo ndiye aliyesimamia zoezi la ubinafsishaji wa viwanda miaka ya nyuma na kusababisha viwanda vingi kufa hali iliyochangia uchumi wa nchi kuporomoka na sasa ndiye huyo huyo anataka kuvifufua.