Wabunge wa CDM sio wanafiki.

Wabunge wa CDM sio wanafiki.

KASENYENDA JR

Member
Joined
May 5, 2013
Posts
90
Reaction score
15
Wakati wabunge wengi CCM na mawaziri wake kwa ujumla huwa wanabeza michango ya wabunge wa CDM,lakini hali imekuwa tofauti kwa wabunge wa CDM,baada ya mbunge wa Mbeya mjini SUGU kumpongeza Dr kigoda kwa jinsi alivyo jibu hoja za wabunge wakati wa akifanya majumuisho yake bungeni.Hali hii imekuwa ni mwendelezo wa wabunge hao kwani ni kawaida yao kutoa pongezi pale wanapokuwa wanarizishwa na majibu ya hoja zao.Je ni lini wabunge wa CCM watatoka kwenye mtumbwi wa chama kwanza na maslahi ya nchi badae?
 
WABUNGE.jpg

nimesikia walimsonga mwenzao kwa kutokuunga bajeti wakati ktk jimbo lake hakuna hata KM 1 ya lami
sawa na same kwa mama kilango anaunga mkono bajeti asilimia mia akitolea mfano wa rombo na hai wakati
jimboni kwake hakupitiki.
wabunge wa CCM amkeni kuweni kitu kimoja,acheni unafiki hatujawatuma kutetea chama bungeni
tumewachagua kututetea sisi wananchi na hatujawatuma kujibu hoja za wabunge pinzani,nyie sio serikali
 
Back
Top Bottom