Wanabodi salamu kwenu
Kuna vipindi viliandaliwa kwenye Runinga mbalimbali kukabiliana na kile kinachoitwa M4C kuishitaki ccm kwa Wananchi.
Vipindi hivyo viliandaliwa na Wizara mbalimbali ili...
Ni kampuni ya SSB imechangia wizara ya uchukuzi USD800,000 ili mabehewa ya treni yatengenezwe.
Anastahili pongezi.
Source: TBC jana.
==================
Ufafanuzi zaidi
==================
Muwe...
Habari za kiuchunguzi na za Uhakika ambazo zimekua ni Gumzo hapa ktk Vijiwe mbalimbali na hata baadhi ya sehemu za Starehe Jijini Arusha ni kwamba CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO [CHADEMA]...
Watanzania tuna utamaduni mbaya wa kutoona uzito wa tuhuma kwa watu mbali mbali wanaokuwa wamefanya mambo makubwa ya kuudhi na mengine yenye hasara kwa taifa letu! Ndiyo maana hata waharifu hupata...
ndugu wana jf. Naangalia Bunge na namwona Mh Harrison akijibu hoja kwa mbembe zote na kuiagiza Sumatra kuruhusu Noah kufanya kazi na zilizopo polisi kwa kosa hilo kuachiwa mara moja. Huu sasa ndio...
MARUFUKU CD ZA ROGO,UAMSHO NA ILUNGA.
Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar inayoongozwa na Dr Shein na Makamo wake Maalim Seif kupitia Jeshi la Polisi wamepiga marufuku rasmi cd zote za...
Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA. Leo wamezindua mkutano wa kampeni kata ya iyela wananchi wamefika kwa wingi sana nitawatumia picha muda si mrefu
Vipi kuhusu cd za uchochezi za simbaulanga kuhusu kuchinja vipi kuhusu cd ya kwaya ya jiwe jeusi ya shinyanga. Au serikali imeona cd za shehe ilunga na uamsho pekeyake hiyo ni double standards
ndugu wana Jf. Sasa hivi ndo budget ya Uchukuzi inapitishwa je wabunge kwakweli mmebariki Nauli kupanda? Basi nini mchango wako na kauli yako kwa wananchi kuhusu msimamo wa nauli kupanda? Hali ya...
Ushindi wa mahakamani kwa mbunge wa Arusha Mjini (Chadema) Godbless Lema, umefungua ukurasa mwingine wa kisiasa hasa zinazohusu uchaguzi na upinzani dhidi wabunge.
Jimbo hilo limekuwa likipinga...
Habari nilizozipata kutoka chanzo cha kuaminika ni kwamba pesa za capitation mwezi huu zimebadilishiwa matumizi na badala yake wamezielekeza katika ujenzi wa maabara.
kamanda zitto zuber kabwe kesho jumamosi tarehe 18.05.2013 atakuwepo hapa mkoani tabora kwa ajili ya uzinduzi wa operation m4c kanda ya magharibi.kamanda zitto ataambatana na makamanda wengine...
Friday, May 17, 2013 | 4:04 PM
Serikali imeahidi kuwajibisha watendaji watakaobainika kwenda kinyume katika uingizaji wa mfumo mpya wa usahihishaji mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2012, ambao...
Nimesoma katika magazeti na humu humu jamvini katika michango ya wanaJF kwamba John Tendwa amependekeza kutungwe sheria itakayomwezesha, kama Msajili wa Vyama vya Siasa, kufuta chama...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mbunge wa Tunduru kaskazini anajibu hoja za wabunge wenzake badala la kuchangia bajet huku tunduru hakuna hata kilomita moja.
Habari zenu Great thinkers!.ningepewa nafasi ya kuwapatanisha CHADEMA na CCM ningeanza kwa kuwashauri CHADEMA waache kuhutubia kwa kuwatisha CCM.Kwa mfano hotuba nyingi za DK Slaa amenukuliwa na...
MAWAZIRI WETU,
Napata shida sana na utendaji wa mawaziri wengi wa serikali wa awamu hii ya JK kwa ufanisi mdogo maji imekuwa shida lakini waziri ataki hoja binafsi ya maji kwa woga ya kuanikwa...
Tangu kuanza kwa Mfumo wa vyama vingi Tanzania 1992 Ccm kimekua kikikejeli vyama vya Upinzani kuwa ni vya Msimu.Huonekana vikifurukuta tu nyakati za uchaguzi.Hata Kampeni za Uchaguzi mkuu 2010...
By Katare Mbashiru, Elisha Magolanga
In Summary
Taking into account irregularities during the election of constitutional assembly members...it is clear that the country won't get the Constitution...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.