Dr harrison mwaikembe: Atoa agizo kwa sumatra

Dr harrison mwaikembe: Atoa agizo kwa sumatra

Elineema J Mosi

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2013
Posts
808
Reaction score
148
ndugu wana jf. Naangalia Bunge na namwona Mh Harrison akijibu hoja kwa mbembe zote na kuiagiza Sumatra kuruhusu Noah kufanya kazi na zilizopo polisi kwa kosa hilo kuachiwa mara moja. Huu sasa ndio uongozi.
 
Ukiona Waziri anaenda kuzungumzia Noah Bungeni jua amefilisika anatafuta Cheap popularity
 
ndugu wana jf.
Naangalia Bunge na namwona Mh Harrison akijibu hoja kwa mbembe zote na
kuiagiza Sumatra kuruhusu Noah kufanya kazi na zilizopo polisi kwa kosa
hilo kuachiwa mara moja. Huu sasa ndio uongozi.

Alikuwa wapi siku zote? Ina maana hii ishu ameijua baada ya kuulizwa maswali? Mi-ccm imejaa unafiki sana...
 
Unaruhusu pikipiki unazuia noah,akili kweli hiyo?!
 
Ukiona Waziri anaenda kuzungumzia Noah Bungeni jua amefilisika anatafuta Cheap popularity

Yuko ssahihi sana na si siasa. Ni upuuzi mkubwa kufungia NOAH na kuacha TOYO. Ajali zinaletwa na waendeshaji wasio na sifa na si chombo chenyewe. Ni wakati sasa kwa SUMATRA kuhakikisha sheria zinafuatwa ikiwemo kiwango cha abiria kwenye chombo husika wahakikishe vinafuatwa na si kupita short cuts kama za kuweka road bumps badala ya kutoa elimu kwa watumia barabara wote wakiwamo drivers na pedistrians. Narudia tena, he is right.
 
Ukiona Waziri anaenda kuzungumzia Noah Bungeni jua amefilisika anatafuta Cheap popularity

Uwe unajiuliza kwanza kabla hujaropoka. wewe ulitaka akazungumzie chooni? kwani bungeni wanazungumzia nini? Kama kaulizwa swali hilo ulitegemea akajibie chooni? Nyie watanzania (hasa wewe) ni wanafiki tu hamna la maana. Mmejaa lawama tu akifanya hivi anatafuta umaarufu akifanya hivi eti fisadi. Msipende kudharau mambo ya wenzenu maana wewe unapoona kama amekosea kuna watanzania kibao ambao wanafaidika na Noah wamefurahi.
 
Alikuwa wapi siku zote? Ina maana hii ishu ameijua baada ya kuulizwa maswali? Mi-ccm imejaa unafiki sana...

Hata hivyo hajachelewa. Wewe pia ulikuwa wapi siku zote kufikisha malalamiko yako? nyie ndo ambao waoga hata kwenye kudai haki zenu mnafyata mikia halafu mnazungumzia pembeni
 
Uwe unajiuliza
kwanza kabla hujaropoka. wewe ulitaka akazungumzie chooni? kwani bungeni
wanazungumzia nini? Kama kaulizwa swali hilo ulitegemea akajibie
chooni? Nyie watanzania (hasa wewe) ni wanafiki tu hamna la maana.
Mmejaa lawama tu akifanya hivi anatafuta umaarufu akifanya hivi eti
fisadi. Msipende kudharau mambo ya wenzenu maana wewe unapoona kama
amekosea kuna watanzania kibao ambao wanafaidika na Noah wamefurahi.

mmmh wewe vp upo kwenye mada kweli?
 
ndugu wana jf. Naangalia Bunge na namwona Mh Harrison akijibu hoja kwa mbembe zote na kuiagiza Sumatra kuruhusu Noah kufanya kazi na zilizopo polisi kwa kosa hilo kuachiwa mara moja. Huu sasa ndio uongozi.

Hapana napinga na wewe, huu sio uongozi, bali udhaifu wa uongozi.
  • Kuiagiza Sumatra akiwa bungeni wakati alikuwa na uwezo wa kufanya hivyo kabla ya kuingia bungeni ni udhaifu na unatia shaka mwenendo wa utendaji wake.
  • Kutoa amri bungeni ni njia mojawapo ya kutafuta nguvu ya bunge ili kutekelezwa kwa amri hiyo. Na kama ni kweli, basi yawezekana jopo la wataalamu waliokaa chini na kuona Noah hazifai hawakukubaliana na yeye (Dr. Mwakyembe) katika kutaka kuziruhusu hizo Noah kufanya biashara hasahasa ya daladala. Kwa vile yeye ni waziri akaona basi kete yake ya mwisho ni kutumia Bunge ambapo SUMATRA hawatakuwa na ubishi.
  • Pia inatia shaka kulazimisha noah ziwe gari za abiria wakati madhara yake yapo wazi.
  • Kutumia bunge kutoa amri ni njia nyingine ya kutafuta public attention ili aonekane ni kiongozi mtendaji.
 
ndugu wana jf. Naangalia Bunge na namwona Mh Harrison akijibu hoja kwa mbembe zote na kuiagiza Sumatra kuruhusu Noah kufanya kazi na zilizopo polisi kwa kosa hilo kuachiwa mara moja. Huu sasa ndio uongozi.

mkuu mbembe ndiyo nini sijakuelewa soma post yako.
 
Nendeni polisi kama mtapata Noah zenu labda si askari wa tanzania, watakwambia hawafanyi kazi kwa maneno ya bungeni. Ila wakiambiwa kuwazuia Chadema au kuwapiga mabomu wanafunzi aaah, kama kumwambia mbwa vile "Kamata mwizi huyo" tayari washavamia. Chezea policcm wewe?
 
Nendeni polisi kama
mtapata Noah zenu labda si askari wa tanzania, watakwambia hawafanyi
kazi kwa maneno ya bungeni. Ila wakiambiwa kuwazuia Chadema au kuwapiga
mabomu wanafunzi aaah, kama kumwambia mbwa vile "Kamata mwizi huyo"
tayari washavamia. Chezea policcm wewe?

kweli hii kali.
 
Back
Top Bottom