Chadema wazindua kampeni mbeya

Chadema wazindua kampeni mbeya

Mohamed Mbelwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
507
Reaction score
272
Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA. Leo wamezindua mkutano wa kampeni kata ya iyela wananchi wamefika kwa wingi sana nitawatumia picha muda si mrefu
 
kampeni ya kugombea nafasi gani, hiyo nafasi ilipatikanaje,
twawatakia uchaguzi mwema.
nakiunga mkono CHADEMA.
 
mbeya kimbiza hao magamba kwa manufaa ya vizazi vijavyo.magamba ni hatari kwetu nakwenu pia.nyie ni ngome(strong hold)yetu.msituangushe.
 
kampeni ya kugombea nafasi gani, hiyo nafasi ilipatikanaje,
twawatakia uchaguzi mwema.
Nakiunga mkono chadema.

nafasi ya udiwani kata ya iyela diwani wa kata hiyo(ccm) alifariki mwanzoni mwa mwaka huu alikuwa anaitwa mkwenzulu na kuicha nafasi hiyo wazi
 
Back
Top Bottom