Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Li Bingbing and Yao Ming are among the celebrities campaigning to save elephants – now African politicians must do the same Former NBA star and Chinese icon Yao Ming inspects the corpse of...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ndugu wana JF. Nionavyo mimi ni kuwa CCM haifikirii kero za wananchi bali wao wapo bussy na kutangazia mafanikio ambayo hayaonekani machoni pa wengi. Tabu kweli kweli.
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Leo katika maswali ya papo kwa hapo waziri mkuu baada ya kuulizwa ni hatua gani serekali itachukua kwa mawaziri wanao jihusisha na madawa ya kulevya yeye akajibu kuwa serekali haitasita kuwafukuza...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Diwani wa kata ya mungaa MATEO ALEX KIANGO, katika jimbo la singida mashariki linaoongozwa na mbunge wa chadema Tundu Lissu yupo mahabusu kituo kikuu cha polisi Central singida tangu siku ya...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Mjumbe wa Halmashauri kuu CCM Sambwee Shitambala amesema laiti angekuwa Rais angefungia idadi kubwa ya vyombo vya habari kwa ukiukwaji wa maadili. Shitambala amelaani vyombo vya habari kukaa...
0 Reactions
57 Replies
4K Views
Kwa muda mrefu sasa CCM imekuwa ikijivunia mtaji mkubwa wa ujinga wa watanzania. Ktk mkakati wa kuhakikisha mtaji huo unaendelea kuwepo, serikali ya ccm inatumia gharama kubwa kuhalalisha kufeli...
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Leo katika kipindi cha maswali na majibu kwa upande wa wizara ya ujenzi alimuuliza waziri swali na nyongeza kuhusu kusimama kwa makandarasi wanaojenga barabara za kuunganisha Tabora na mikoa...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
SERIKALI imekiri kuwapo kwa matatizo ya ukiukwaji wa maadili kwa baadhi ya askari polisi. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira Ame Silima, alitoa kauli hiyo bungeni jana alipokuwa akijibu...
0 Reactions
1 Replies
915 Views
  • Closed
Mgombea udiwani wa kata ya kimandolu Arusha Edna sauli ambae ni mkazi wa Njiro ambae anaungwa mkono na mzee Lowassa ambae ni rafiki mkubwa wa familia yake,ameanza kampeni chafu. Edna anapita...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
  • Closed
Zipo Jumuiya nyingi za Kikristo Tanzani, Miongoni mwazo ni Jumuiya kubwa mbili. Ile inayowaunganisha Wakatoliki wote Tanzania chini ya baraza la Maaskofu (TEC) na ile inayowaunganisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kijana aliyemkimbiza hadi kumkamata mtu anayedaiwakuhusika na kulipua bomu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Parokiaya Olasiti, jijini Arusha akiwaelezea wananchi ilivyokuwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
TAARIFA KWA UMMA WAGOMBEA WA UDIWANI - KANDA YA KASKAZINI Tarehe 15 Mei 2013, wagombea wafuatao wa CHADEMA walipitishwa na TUME YA UCHAGUZI kuwania nafasi za uwakilishi (UDIWANI) katika maeneo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hiyo mada hapo juu inajadiliwa na Star tv tuongee asubuhi.Mwendesha kipindi ni Yahya Mohammed. Wageni walioalikwa kwa upande wa Dar es salaam ni Risasi Mwaulanga ambaye ni balozi wa amani na Sam...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kiuhalisia CHADEMA imekuwa msitari wa mbele katika kuuamsha umma juu ya matukio ya uhujumu uchumi unaotokea katika nchi hii kwa muda sasa na kufanya wananchi kuelewa kwa nini nchi hii ni maskini...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naskiliza habari,Mh anadai rushwa wazi wazi kwa kina mama na watoto! Ningumu kumwelewa,sijui anamdanganya nani? Hivi rushwa ya nchi inaonekana wazi wazi kwa kina mama na watoto!? Au alitaka...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Dear Colleagues, While perusing the papers today morning i came across this article in the CITIZEN, which attracted my attention and has had an impact in my thoughts. The author has very well...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
THURSDAY, MAY 16, 2013 Katibu wa CCM, Aluu Segamaba akiongoza viongozi wenzake kukagua daraja la Rau linadaiwa kujengwa kwa kutumia kiasi cha sh. milioni 102, lililokatika kabla ya ujenzi wake...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hili tangazo limetolewa na m/kiti wa kikao cha bunge leo asbh eti kesho kutakuwa na semina ya wabunge wote kuhusiana na gesi asilia, na leo kuna kikao cha wabunge wa ccm. Nina wasiwasi sn na hii...
0 Reactions
2 Replies
888 Views
Katika kutafuta suluhu ya mgogoro wa gesi, wananchi wa Kusini wamekwenda mbali zaidi na kuponda hoja kuhusu kuchelewa kumalizika kwa ujenzi wa barabara, maeneo ya Somanga. Kwa mujibu wa Waziri...
5 Reactions
34 Replies
8K Views
Katika mchakato wa kufanya uchaguzi mkuu, vyama vya siasa vyote vinapaswa kuandaa Ilani ili kunadi yale watakayo fanya endapo watafanikiwa kuunda serikali, Ilani ya chama inabeba vipaumbele vyote...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom