wadau wa siasa ingawa chama dume(ccm) wamewekeza sana ktk vyuo vikuu moro ikiwemo kuitisha vikao na kuwagawia buku kumi kumi wanafunzi wote wanaohudhuria mikutano hiyo hali imekuwa tofauti ktk...
Katibu wa chadema alitembelea Mbeya na akafika Tunduma sehemu ya wilaya tu na hakufika ,makao makuu ya wilaya ya momba ni chitete siyo tunduma.
Najua wanaokwepesha ratiba hii ni pamoja na...
Kitendo kilichofanywa na jukwaa la wahariri la kumsimamisha uanachama mhariri wa Mtanzania jumatano charles Mulinda inaonyesha jinsi jukwaa hili lilivyopoteza dira (ime loose sense of direction)...
Mahakama ya mkoa wa Manyara leo asubuhi imetengua udiwani wa diwani wa kata ya Endasak iliyopo wilayani Hanang mhe.Hashimu Qamunga.
Jamaa ameondoka kwa aibu akifuatana na madiwani wenzake Peter...
NI baada magamba kutumia kila mbinu katika uchaguzi lakini watooto wa wakulima waliweza kuilinda kula mpaka saa 9 za usiku kuibuka kidedea kwa ushindi mkubwa sana ,na huu mwanzo tuu 2015...
Iran imejihusisha na kusaidia waasi wengi sana Africa.
Huko Senegal hivi sasa hakukaliki kwa sababu ya watu kutaka sharia ya kislamu itumike na wamesaidiwa na Iran.
Huko Gambia kuna silaha...
UMEME unaotokana na upepo, utaanza mwakani chini ya mradi unaolenga kuzalisha jumla ya megawati 300 uliopo mkoani Singida. Mradi huo utaanza na megawati 50
ambazo zitakuwa zikiongezeka kila mwaka...
Bado nawaza!
Watanzania watazidi kurubuniwa na sisi wachache mpaka lini?
Hayaa..
Huku kwenye chama tawala tunapeana moyo sana!!
Tunaamini kabisa watanzania watakubali kikatiba tuwe na...
Salaams,
Kila kukicha ni wewe na kila uchao unavuma kwa mambo ambayo hayana msingi na wala hayana mwelekeo wa kuiendeleza Iramba Magharibi. Yawezekana umesahau jukumu lako kama mbunge wetu...
Mama Maria Nyerere akifurahia tuzo maalumu aliyopokea kwa niaba ya Baba wa Taifa aliyotunukiwa na Taasisi ya Chakula na Lishe kwa mchango wake mkubwa kwa kukuza na kuendeleza sera ya lishe...
Wanajamvi toka asubuhi mpaka sasahivi inaelekea saa mbili za usiku,wanachuo wa chuo cha uhasibu arusha wameendelea kuunga foleni kwa mkuu wa wilaya ya arusha wakisubiri barua zao kutiwa saini...
Mhe. Zitto amesema wabunge wa CHADEMA wamekuwa wavumilivu sana dhidi ya serikali kutokana na baadhi ya mambo ambayo serikali inayafanya chini ya kiwango. Amesema haya wakati akihoji kiasi kikubwa...
Wabunge tuliowachagua na mnalipwa mishahara kwa hela za wananchi tunawaombeni mtakapokutana na Rais mwumulize ni lini tutaonyeshwa ile mikataba 19 iliyosiiniwa within a day kuna nini humo ndani...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
UFAFANUZI WA TAARIFA MBALIMBALI ZILIZOTOLEWA KWENYE VYOMBO VYA HABARI DHIDI YA DAWA BANDIA YA KUPUNGUZA MAKALI YA UKIMWI YENYE...
Ndugu wana JF,
Nini matarajio yako kwa michango ya wabunge hasa wa CCM hapo baadae ya kikao hicho?
Huku bado kuna budget nyeti na zinazogusa watu wengi na zinazotarajiwa kuwa na pingamizi kubwa
Posted by: APO Posted date : May 16, 2013 at 3:41 pm 1 views In: Press Releases
DAR ES SALAAM, Tanzania, May 16, 2013/African Press Organization (APO)/ Foreign Affairs Minister John Baird and...
Habari wadau,
Hili ni swali ambalo mimi binafsi najiuliza na kwakweli siamini mtu mwenye sifa kama za Mwigulu Nchemba angeweza kupata baraka za baba wa taifa kuwa na wadhifa huo mkubwa alionao...
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema ofisi yake inafanya na itaendelea kufanya...
Peter msigwa asema sera za CCM zilizoshindwa za kuwasaidia vijana wafanya biashara ndogondogo maarufu kama wamachinga na kuwatumia kisiasa na kuwatupa kama matambara mabovu zikomeshwe kuanzia sasa
Wadau habarini
Kwa wale wenye kuutakia mema mkoa wa MWANZA naTANZANIA kwa ujumla wataungana na mimi kwa hili.
Mh Maria hewa ndio mwakilishe pekee anayeonyesha uzalendo na uchungu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.