Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jioni hii wakati kikao kilipoanza mwenyekiti wa BUnge mhe.Zungu ambaye ndio yuko mezani ametoa tangazo kwa wabunge wote kuwa kutokana na tishio la ugaidi ambalo limelikumba Bunge kuwa wamechukua...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Kama kiongozi ni kioo cha jamii, je hawa wabunge vijana ambao hawajaoa au kuolewa wanaleta picha gani. Ni aibu kwa mbunge kiingizwa kwenye scandal zisizo na maana sababu ana wanawake au wanaume...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kikosi cha maangamizi Uchaguzi wa madiwani Arusha: Hadi sasa Wabunge wanaotajwa kushiriki kampeni za Kata hizo ni! Kata ya KIMANDOLU,atakuepo Dk Slaa, mh Sugu, mh Nassari,na Alfonce Mawazo. Kata...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Jamani kampeni zimezinduliwa rasmi. Sasa ninaomba mwenye kuelewa hizo kata ni zipi na zilikuwa chini ya chama gani anijuze tafadhali. Mimi najua tu ziko 26 lakini wapi zipo ndio mtihani.
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba amesema chama chake hakiridhishwi kamwe na jinsi mchakato wa Katiba mpya unavyoendeshwa kwani inaonekana wazi uko kwa maslahi ya wachache. Professor Lipumba...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Friday, May 17, 2013 CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kijiji cha Mkamba-Kidatu; Kimevuna wanachama 15 kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa madai wamekasirishwa na Serikali yao ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF, pole kwa mahangaiko ya maisha hasa kwa wale ambao hawana uhakika na kesho katika swala la kupata chochote kwa ajili maisha ya familia na hata maisha binafsi kwa wale mabachelor. Leo...
1 Reactions
3 Replies
899 Views
1) Wote wamefeli shuleni – Div 0 (Nape) na kuiba jina la mtu na kurudia shule kinyemela ( Mwigulu). Nape nauye alizungusha Div 0 Bwiro na Mwigulu Nchemba ameiba jina la mtoto wa Kisukuma na...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
check picha hii ujaribu kuweka tafakari yako
2 Reactions
2 Replies
846 Views
Ndugu wana JF, leo jioni kabla Naibu Spika Job Ndungai hajahairisha shughuli za bunge hadi kesho asubuhi amesema wabunge kadhaa wamemwandikia vikaratasi wakimwuliza kuhusu vazi la wabunge...
3 Reactions
83 Replies
10K Views
Wana JF natamani Sitta angegombea urais kupitia Chadema 2015 awe Rais halafu Dr Slaa akagombee ubunge ateuliwe kuwa PM. Mawaziri akina mwakyembe, Ole Sndeka, Kilango, Mnyika, Mdee, Lissu nk...
1 Reactions
50 Replies
6K Views
wanajanvi Leo majira ya saa sita mchana alikuja kijana ofisi za CCM Lumumba dsm akjitambulisha kwa jina linaanza na K na jina lapii linaanza na M akisema ameagizwa na mch Msigwa kumuona katibu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanabodi Nimepata taarifa za uhakika kuwa diwani wa Levolosi-CHADEMA mh Nanyaro atahojiwa na kamati ya madili ya Jiji,akituhumiwa Kuzuia ushuru
0 Reactions
31 Replies
3K Views
  • Closed
Leo kulikuwa na mjadala pale channel ten kuhusu hali tuliyonayo hapa Tanzania ya udini. Swali lilikuwa kweli udini upo au tumeingiliwa? Mambo mengi yamesemwa lakini HITIMISHO ilikuwa ni kwamba...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Jukwaa la Wahariri Tanzania limemsimamisha uanachama kwa muda usiojulikana Mhariri wa gazeti la Mtanzania Jumatano Charles Mulinda kutokana na kuandika habari za uongo na uzushi. Mhariri huyo...
13 Reactions
106 Replies
9K Views
  • Closed
km kardinali Pengo haamini kuwa mlipuko wa Arusha si udini ,kwanini hajasema ni nini? Au kaogopa taja siasa asiambie kaingilia siasa?Au kaogopa gusa dola?Au muda bado haujafika? watoto wa...
0 Reactions
0 Replies
777 Views
Katika kile kinachoonekana kama kufanikisha mipango ya kuyaidhinisha kwa lazima Matokeo ‘mapya' ya Kidato cha Nne,Serikali imedhamiria kutumia ipasavyo nafasi ya kutokuwepo kwa Prof .Rwekaza...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Sijaamini macho yangu anapokataa kuunga mkono hoja ya waziri wa uchukuzi.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Leo asubuhi katika kipindi cha tuongee asubuhi cha Star TV huyu bwana amesema sheria ya mabadiliko ya katiba ilitungwa Bungeni na kusema watu wachujwe na WCD kwenye mabaraza ya katiba hivyo hakuna...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Bumbuli Tanga. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga,kimepata pigo baada ya Mwenyekiti Serikali ya Kijiji cha KWEKITUI kata ya MAMBA,Miraji Kassim kujiuzulu...
0 Reactions
55 Replies
4K Views
Back
Top Bottom