kamanda zitto zuber kabwe kesho jumamosi tarehe 18.05.2013 atakuwepo hapa mkoani tabora kwa ajili ya uzinduzi wa operation m4c kanda ya magharibi.kamanda zitto ataambatana na makamanda wengine toka makao makao makuu pamoja na wale wa mkoa.anatarajia kufungua matawi zaidi ya 19 ngazi ya kata kesho umamosi pamoja na jumapili.
Peoplesssssssssssssssssss powerrrrrrrrrrrrrr daima.
Peoplesssssssssssssssssss powerrrrrrrrrrrrrr daima.