Setuba Noel
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 426
- 210
Waliolipua kanisa katoliki Arusha na wanaolipua nyumba za watu sasa hivi Mtwara kwa kisingizio cha gesi ni walewale. Sizungumzii dini. Nawapa tu dokezo wafuatiliaji.
Waliolipua kanisa katoliki Arusha na wanaolipua nyumba za watu sasa hivi Mtwara kwa kisingizio cha gesi ni walewale. Sizungumzii dini. Nawapa tu dokezo wafuatiliaji.
Si bure, nawe ni mmoja wao! Umewajuaje?Waliolipua kanisa katoliki Arusha na wanaolipua nyumba za watu sasa hivi Mtwara kwa kisingizio cha gesi ni walewale. Sizungumzii dini. Nawapa tu dokezo wafuatiliaji.
Waliolipua kanisa katoliki Arusha na wanaolipua nyumba za watu sasa hivi Mtwara kwa kisingizio cha gesi ni walewale. Sizungumzii dini. Nawapa tu dokezo wafuatiliaji.
Vurugu zinazotokana na kuchochewa na chama x na zile zinazotokana na sera za chama y ni tofauti kabisa... zile za chama x ni kali sana,haziogopi kuua bali zile za chama y zinasababisha polisi kuua wafuasi wa chama y...Waliolipua kanisa katoliki Arusha na wanaolipua nyumba za watu sasa hivi Mtwara kwa kisingizio cha gesi ni walewale. Sizungumzii dini. Nawapa tu dokezo wafuatiliaji.
kwaiyo ni chama gani? au ni akina nani? au ndiyo unafunika kombe mwana haram apite!!!
Si bure, nawe ni mmoja wao! Umewajuaje?
Aliyekwambia unazungumzia dini nani? una intelijensia ya kuwatambua? kazi yao ni kulipua bila sababu za msingi? Acha propaganda za kitoto hili jukwaa la watu wenye akili timamu
Vurugu zinazotokana na kuchochewa na chama x na zile zinazotokana na sera za chama y ni tofauti kabisa... zile za chama x ni kali sana,haziogopi kuua bali zile za chama y zinasababisha polisi kuua wafuasi wa chama y...
Vuta subira mheshimiwa
Waliolipua kanisa katoliki Arusha na wanaolipua nyumba za watu sasa hivi Mtwara kwa kisingizio cha gesi ni walewale. Sizungumzii dini. Nawapa tu dokezo wafuatiliaji.
Basi kumbe Victor Ambrose atatusaidia....sindiye aliye kamatwa Arusha?
mandiko yanasema nchi ndogo itaiangamiza nchi kubwa ? kama ni wakubwa wa dunia kwa tz kazi ipoMheshimiwa sizungumzii chama. Kuna watu flani wana maslahi yao mtawajua soon.