Leo nilihudhuria semina ya mafunzo ya namna ya kumsaidia mtoto kupua iliyofanyika KIBITI wilayan rufiji Cha ajabu wengine tumelipwa per DM Elufu kumi na tano tu!je Hii ni haki?Mganga mfawidhi wa wilaya tunaomba ufuatilie hili!pia waziri wa Afya tunaomba uingilie kati swala hili tumekua tukinyanyaswa sana kwenye semina!Tumachoka kuibiwa!