Wabunge wa Mtwara Vp?

Wabunge wa Mtwara Vp?

32Roberts

Senior Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
109
Reaction score
17
Magufuli aliposema watu wapige mbizi,wabunge wa mkoa wa Darisalam walikuja juu na kumtaka ashushe nauli na kuwaomba Radhi wananchi.

Swala la Mtwara... Wapo wapi wabunge wa Mikoa ya lindi na Mtwara?wapi tamko lao?Mh.Membe mbona kimya sana?

Ametoka Dodoma Kaja DSM kuongea na waandishi juu ya ujio wa Obama.vip sakata la Home kwao Mtwara?

Je hiki hakiwezi kuwa chanzo cha mgogoro?wananchi hawawezi kuona kwamba wameslitiwa?
 
32Roberts kwani huko kusini kuna wabunge kweli? maana wengi wa huko naona ni vilaza.
 
Last edited by a moderator:
Watalamu wanasema,nanukuu.Kama una tatizo harafu wewe mwenyewe hutaki kusema una tatizo,pia na wewe ni tatizo.
 
Msitake kuwaonea wabunge wa mtwara.Mnajua wazi kuwa endapo watajaribu kumpinga bosi wao watajiweka katika wakati mgumu kwaiyo ni bora wakae kimya tu.Huyo Membe saivi yupo busy na ujio wa Obama kwaiyo hawezi kushughulikia masuala ya mtwara
 
hivi kwani nyumba yake nayeye haijachomwa moto?kambea sana kajamaa haka!kunakipindi cha45 minutes chatv last year kalitia umbea sana,eti ooh dj hawezi kuongoza madagascar,jumuia yakimataifa nanchi zachary africa hazitamtambua!mbona alikuja bongo ww nakaka ako mkajipanga kumpokea namakofi juu!waziri kwa taarabu huyu!mikoa yakusini hamna kitu,ukianzia nanchimbi nakimstachi chake hamna kitu,,chaumbea mhagama na serikali sikivu*3,holaaaa!zee lavitoto vidogo nausingizi bungeni komba,hamna kitu!
 
Msitake kuwaonea wabunge wa mtwara.Mnajua wazi kuwa endapo watajaribu kumpinga bosi wao watajiweka katika wakati mgumu kwaiyo ni bora wakae kimya tu.Huyo Membe saivi yupo busy na ujio wa Obama kwaiyo hawezi kushughulikia masuala ya mtwara

Tehe tehe Bosi wao ni aliye piga kura ama Jk?kwani hawa ni wabunge wa kuteuliwa?kitendo chao cha kukaa kimya kinaonyesha sii wazalendo.Membe utakapochukua Fomu ujue hili halitokuacha.
 
Tehe tehe Bosi wao ni aliye piga kura ama Jk?kwani hawa ni wabunge wa kuteuliwa?kitendo chao cha kukaa kimya kinaonyesha sii wazalendo.Membe utakapochukua Fomu ujue hili halitokuacha.
haya mambo ya kusema bosi wa mbunge ni mpiga kura yashapitwa na wakati,mbunge ananyenyekea wakati wa kampeni tu
 
Membe ni mbuge wa Mtwara? Au unataka aongee kama waziri, kwani waziri husika na serikali kwa ujumla imesema nini juu ya gas Mtwara? Membe alishaongea kama Mbunge wa Lindi juu ya gas ya Lindi na wakamuelewa!!
 
Naona Membe anachokozwa atoe kauli kuhusu Mtwara.

Membe nakushauri bure kabisa,nia ya haya ni kukuchonganisha either na Kikwete au Wananchi wa kusini ambao ni turufu kubwa kuelekea 2015.
Usitoe neno.Kama wewe kidume mwaga unga na mboga!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom