TEAM LOWASA, the way to 2015

TEAM LOWASA, the way to 2015

EX COP

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Posts
240
Reaction score
87
Tumeweza kufanya maamuzi magumu

Hatutashindwa kutatua matatizo magumu

Utendaji wake unajulikana na kila mwananchi

Watu wanashindwa kujiuzuru ukatibu kata lakini yeye aliachia uwaziri mkuu

Sio wakati wa kujenga jina au kutafuta utajiri wa haraka au kulipa waliokufikisha ikulu

Hana njaa, kwa hiyo haendi ikulu kupiga dili au kujenga jina, anakwenda ikulu kuijenga nchi
ezmvlujhnxq7cghwp3l8.jpeg

2015 LOWASA
 
I can not imagine how Tanzania will look like under the leadership of this Vulture Lowassa.I can only imagine one thing happening NOTHING WILL BE LEFT BEHIND when he is gone.
 
all ican see here,is that the number of wachumia tumbo is increasing day after day.oh yes mchumia tumbo that's what you are.
 
Hivi hii migando ya mawazo kwa watanzania wenzetu itaisha lini? ni njaa zenu zinasababisha akili hazifanyi kazi au ni kweli hamna akili kabisa? mtu huyo ana makashfa kibao kubwa ya richmond then tunaendelea kumkumbatia? hakuna mtanzania mwingine out of 45,000,000 mwenye uwezo wa kuongoza taifa letu!
Hivi kwa sera hizi za CCM za kulindana , kuficha maovu, kupora nchi na kujenga class ya matajiri kweli Lowassa anaweza kufanya nini?Mimi nahisi kama kweli Watanzania tunataka mabadiliko ya haraka tunatakiwa tuchague sura mpya chama kipya kije kifumue syetem nzima iliyooza kuanzia mahakama,polisi., taasisi na idara za serikali ziundwe upya kwa ufanisi!!Njaa zenu ndizo zilizopelekea kusema jk alikuwa chaguo la mungu tumeona madudu yake kwa miaka 10 inayoisha, sasa naona njaa zilezile mnaanza kumpigia debe Lowassa shame on you all who support that thief!!!
 
I can not imagine how Tanzania will look like under the leadership of this Vulture Lowassa.I can only imagine one thing happening NOTHING WILL BE LEFT BEHIND when he is gone.

wivu wa chumbani huo.nenda basi wewe ikulu ukaongoze
 
Anahaki kikatiba

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
I can not imagine how Tanzania will look like under the leadership of this Vulture Lowassa.I can only imagine one thing happening NOTHING WILL BE LEFT BEHIND when he is gone.

Kwa sababu bado tunayodhana ya kuwa rais bora hutoka ccm, basi chama kikimpitisha basi ujue atakuwa rais.

Akili zetu hadi zije sishituke kuwa rais bora hutoka chama chenye mtazamo bora na mustakabali wa nchi hiii, ndipo tutakapo toka kwenye huu msiba, na hii sidhani kama itakuwa ni 2015.
 
mkuu umekosea sana kuleta huu uzi hapa manake zaid ya matusi hakuna hoja itakayojadiliwa hapa. lakini mimi bado nauliza watanzania wenzangu.................

Hivi kweli kuna mtu anakataa kabisa kwamba Lowassa hawez kuwa rais wa Tanzania??
kila siku huwa naskia tuhuma zake lakini sijawah kuona evidence kwamba kweli alihujumu ama alifisadisha nini zaid ya watu kusema tu na wakati mwingine kuweka maneno ya uongo kwenye kinywa cha ukweli.
 
Rais bora wa nchi hii atapatikana 2025 pindi haya mazee mengi yamekufa, akiwemo ..,.... Na vjana wa leo kina zitto na makamba wakiwa na umri wa 70's hapo 2tampata rais 2mtakaye coz cc ndo 2takuwa wapiga kura wakutosha.
 
Makamba hafai kwa kuwani mnafiki na mchumia tumbo..hafai hata kidogo
 
Rais wa JMT anaweza akatoka Chama chochote cha Siasa..

Lakini Rais Bora atatoka CCM..
 
sina hakika kama anafaa ila tu jambo ninalojua ni kuwa hata kuwa dhaifu kuliko kikwete
 
Kwa kuwa sijawahi kumchagua mtu yeyote kutoka CCM, nitaendeleza utaratibu kwa kuwa CCM hawezi kutoka mtu mwenye uchungu na nchi yetu zaidi ya kulindana labda mpaka pale itakapokuwa chama cha upinzani kwanza. Kuikumbatia CCM, ni kukumbatia umasikini.
 
Rais wa JMT anaweza akatoka Chama chochote cha Siasa..

Lakini Rais Bora atatoka CCM..
Ilikuwa enzi za Nyerere wakati miiko ya uongozi ikizngatiwa, siyo wakati huu ambapo ccm kimekuwa chama cha manyang'au.
 
Back
Top Bottom