sasa wao hao masisiemu hiyo intelejensia yao imelala... basi ifutwe kama wanashindwa kuwakamata cdm kwa hayo matukio yooote yaliyotokea.. na huo uharibifu na tishio la usalama huko iringa, mara mtwara, mara ruvuma mara lindi, mara loliondo.. basi hii selikari ni dhaifu na haina uhalali wa kuwepo madarakani.. kama wanasumbuliwa na watu wasio na hata jeshi...