CUF kuchukua nchi 2015

CUF kuchukua nchi 2015

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
chama cha wananchi kuchukua nchi mwaka 2015 chama kimejipanga zanziba kuichukua na tanzania bara kuongeza wabunge wengi iwezekanavyo mipango ya operation kapambe kutangazwa hapo bdae ya komboa nchi kutoka kwa mafisadi
 
Mi sioni tofauti ya CUF na CCM
 
Hahaha, LIPUMBA KAWARUDISHA NYUMA KWA KUTOA SIRI ZA CHAMA, AMESEMA ALISHAURIWA AGOMBEE URAIS MWAKA 1995 ILI AWAKILISHE WATU WA IMANI FULANI. MWAKA 2010 YEYE NA VIONGOZI WA DINI WALIZUNGUKA NCHI NZIMA ILI KUMUOKOA JK ZIDI YA CHADEMA
 
Haitakuwa shida. Wakati mwingine siyo mbaya mke kumpokea mume mzigo.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Umeongea inavyostahili, na kama ikishindikana basi japo serekali ya umoja wakitaifa sio mbaya sana tuwawache CDM na kelele zao za mlango......
 
Ndoto za abunuasi mchana kweupee tena akiwa anatembea
 
Back
Top Bottom